Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.
Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku...
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua.
Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio...
Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM?
Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza.
Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.
Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.
Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza...
Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023
Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria.
==========
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
bunge
bungeni
cag
ccm
dkt. tulia ackson
hoja
kali
kamati kuu
kuhusu
marufuku
mbona
mbunge
novemba
ripoti
ripoti ya cag
spika
spika wa bunge
taarifa
vita
wabunge
Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi?
Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao?
Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
Leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge?
Simba ilifungwa? Hapana
Imeshatolewa CAF CL? Hapana
Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa
timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu...
Duniani kuna majambo na vijambo.
Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm.
Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu.
Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu.
Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye...
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na...
Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much.
Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku...
Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari.
Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa wana usalama walimbaini daktari huyo feki akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.