Watu wa Dar mbona hamtuletei dagaa mchele huku Sikonge?

Watu wa Dar mbona hamtuletei dagaa mchele huku Sikonge?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Huku tunapambana tunawaletea asali. Siyo sisi tu, huko Mbeya wanapambana mnapata mchele. Njombe wanajitahidi kuwaletea viazi mle chips. Kanda ya ziwa wanawaletea ng'ombe. Nyinyi kinawashinda nini kutuletea dagaa mchele? Jumla ya eneo lote la bahari la Tz ni zaidi ya Km za eneo laki mbili. Ziwa tanganyika ni kama elfu thelathini tu lakini wanawaletea dagaa, mawese na migebuka. Shida yenu nini? Uchoyo! Maana kiukweli hata mikate mmeacha kubeba mkija huku. Kwani maisha magumu ni kwenu tu, nyie daily ni wa kupewa tu!!? Bukoba wanajitahidi kusambaza senene nchi nzima. Hakuna mji utataka senene ukawakosa. Fanyeni na sisi tupate dagaa mchele, uduvi, vibua na hivyo vingine mnakulaga na stiki mtaani.
images - 2026-10-29T075855.887.jpeg
images - 2026-10-29T075906.619.jpeg
 
Back
Top Bottom