CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

Tumesema asante kila tulipoenda tumewashukru wana CCM na watanzania kwa ujumla kwa kukipigia kura za kishindo CHAMA CHA MAPINDUZI kwa sasa tunajipanga na USHINDI wa kishindo 2029/2030
IMG-20260925-WA0013.jpg
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Una akili kweli? Chadema waliomba?
Kwanini CCM hamkuomba?
 
Ccm mlivyo malaya, Ht wangeshinda mngekuja na mada za kusema bunge la ulaya ni la ovyo
 
Back
Top Bottom