CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

Kila Mtu aandike ukweli anaoujua
Ok,Samia kaua maelfu ya watanzania mpaka kupewa tuzo ya Tyrant of the year!
Ni kutokana na mauaji hayo,anaishi kama digidigi!
Hana uhuru wa kuzunguka kwenye nchi yake!Anaishi kwa hofu kwa damu aliyoalimwaga,huo ndio ukweli!Period!
 
AI ili capture Jina lililopenyezwa kiujanja ujanja
Who Can Nominate: Nominations can only be made by the official political groups within the European Parliament, or by individual Members of the European Parliament (MEPs). To be valid, a nomination submitted by individual MEPs must have the signatures and support of at least 40 lawmakers. Individual MEPs can only sign off on one nominee per year
 
Kuishinda ICC ilikuwa ngumu sana. Kuna message inatumwa kwa USA & Putin ambayo wanaidogosha sana ICC na ilikua ni lazima ujumbe utumwe kwao
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Lumumba mbona hamsemi kuwa mamluki wenu wamegongwa mahakamani leo
 
Mabeberu ambayo juzi wamepitisha kuwapa msaada wa nilioni 400+ mkafanya sherehe kushangilia msaada uliozuiwa kutolewa!!!!!

Mabeberu waliowapa bilioni 700 mkazihalalishia matumizi eti "maandalizi dhidi ya mvua za el-nino!!???
Africa inahitaji kiongozi katili ambaye atapigana dhidi ya mapandikizi ya mabeberu
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Among the finalists alikuwepo Lissu wala si CHADEMA.
 
Back
Top Bottom