Lisu katoswa kwenye Tuzo ya Sakharov kutokana na kesi ya Uhaini inayo mkabili.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na:
1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini.
Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu kupata Tuxo hiyo ya heshima.
Alidhani kuwa angepewa Tuzo hiyo kama zawadi ya pipi.
Kamati ya mashindano sio wajinga, walifuatilia tuhuma zinazo mkabili na kubaini Lissu ni mkosqji, hafai kupatiwa Tuzo.
Lissu pamoja na genge lake wanapaswa wajitafakari.
Wasidhqni kulopoka kutawasaidia bali kutawagharimu sana.
 
Nyie akili zenu sijui mlipewa za nini sijui.

Hujui kama hiyo kesi ndio imemsababisha akaingia top 3?
 
Duh kaazi kweli kweli umesahau hata icho kinyanganyiro kimeanza jamaa akiwa tayari ndani na sijui unataka kushawishi nini hata.ushauri rejea sifa/vigezo walivyoweka kumtambua kabla hujaendelea kujichanganya zaidi.
 
Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na:
1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini.
Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu kupata Tuxo hiyo ya heshima.
Alidhani kuwa angepewa Tuzo hiyo kama zawadi ya pipi.
Kamati ya mashindano sio wajinga, walifuatilia tuhuma zinazo mkabili na kubaini Lissu ni mkosqji, hafai kupatiwa Tuzo.
Lissu pamoja na genge lake wanapaswa wajitafakari.
Wasidhqni kulopoka kutawasaidia bali kutawagharimu sana.
Hebu katawaze.Acha upompompo.
 
Duh kaazi kweli kweli umesahau hata icho kinyanganyiro kimeanza jamaa akiwa tayari ndani na sijui unataka kushawishi nini hata.ushauri rejea sifa/vigezo walivyoweka kumtambua kabla hujaendelea kujichanganya zaidi.

Nenda kasome vigezo na masharti vilivyo tumika, utanielewa.
Kilicho mkosti Lissu nituhuma za uhaini za kuchochea uasi na vurugu nchini jambo ambalo ni kinyume kabisa na demokrasia.
Mpenda demokrasia hawezi kuhamasisha vurugu na uhalifu.
 
Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na:
1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini.
Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu kupata Tuxo hiyo ya heshima.
Alidhani kuwa angepewa Tuzo hiyo kama zawadi ya pipi.
Kamati ya mashindano sio wajinga, walifuatilia tuhuma zinazo mkabili na kubaini Lissu ni mkosqji, hafai kupatiwa Tuzo.
Lissu pamoja na genge lake wanapaswa wajitafakari.
Wasidhqni kulopoka kutawasaidia bali kutawagharimu sana.
Mawazo na mtazamo wako
 
Ungesaidia akina Bagyem waliposhindwa kuthibitisha tuhuma zao kama zako pale mahakamani.
Shit head wewe.
 
Nenda kasome vigezo na masharti vilivyo tumika, utanielewa.
Kilicho mkosti Lissu nituhuma za uhaini za kuchochea uasi na vurugu nchini jambo ambalo ni kinyume kabisa na demokrasia.
Mpenda demokrasia hawezi kuhamasisha vurugu na uhalifu.
sawa
 
Back
Top Bottom