Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi, John Pambalu, inatarajiwa kutajwa kesho, Jumatano, Novemba 4, 2026, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, saa 3:00 asubuhi...