VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.

in fact Yes,
they are completely attempting by words of mouth and by their nonsense actions to destroy the economic sector of our beautiful nation🐒
 
Mzaha mzahaaa hutumbua usahaa ... wana madai muhimu ila namna ya kuyawasilisha kwa mamlaka husikaa

Twaishi kwa mashaka mashaka ka digidigiii
 
Mzaha mzahaaa hutumbua usahaa ... wana madai muhimu ila namna ya kuyawasilisha kwa mamlaka husikaa

Twaishi kwa mashaka mashaka ka digidigiii
Ulitaka wawasilisheje. Walikaa juzi na Waziri Mkuu siku nzima, hakuna ufumbuzi uliopatikana.
 
Back
Top Bottom