Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu.

Nawasilisha.
 
We si ulishafungua uzi humu muda mchache tu uliopita kwamba Lissu keshashinda kesi?
 
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu.

Nawasilisha.
kwani mtuhumiwa mwenyewe wa uhaini, ambae hujinasibu kua ni wakili msomi, hakusema chochote baada ya kukanwa hadharani na aliowatangaza kwa muda mrefu sana kua ni mashahidi wake?🐒
 
Screenshot_20260902-120602~2.png
 
Utetezi (Lissu) alipaswa kuomba ufafanuzi na kuiachia mahakama iamue uamuzi mdogo juu ya ushahidi wa DCI. Alipaswa kuieleza mahakama kwamba bado anaona anahitaji ushahidi wa DCI, hata kama hataki. Na kuifanya mahakama iamue juu ya ushahidi wa DCI.

Kwa yeye (Lissu) kuiambia Mahakama kwamba, kwa DCI kukataa yeye anaona waendelee na submission, ni yeye kuifanya mahakama iwe kimya, maana hajalalamikia hilo kutaka ufafanuzi.

Mahakama imepewa nguvu ya kulazimisha mtu awe shahidi (wa utetexi au mashitaka), kama itaona ushahidi wake unahitajika. Ikitokea shahidi hataki (not consent), mahakama ndio inaamua sio mtu mwenyewe. Alichokifanya DCI ni matakwa yake yeye, hajawa na kinga yeyote iwe subpoena, wala ushahidi wake haumfanyi kuwa na hatia, wala sio mtoto achilia mbali kuwa na shida ya akili.
 
Kama unachosema ni kweli kisheria, basi kuna mambo yaneendelea nyuma ya pazia kama nillvyosema kwenye uzi wangu mmoja hapa jukwaani leo hii

All in all, Lissu ni mshindi.
 
Utetezi (Lissu) alipaswa kuomba ufafanuzi na kuiachia mahakama iamue uamuzi mdogo juu ya ushahidi wa DCI. Alipaswa kuieleza mahakama kwamba bado anaona anahitaji ushahidi wa DCI, hata kama hataki. Na kuifanya mahakama iamue juu ya ushahidi wa DCI.

Kwa yeye (Lissu) kuiambia Mahakama kwamba, kwa DCI kukataa yeye anaona waendelee na submission, ni yeye kuifanya mahakama iwe kimya, maana hajalalamikia hilo kutaka ufafanuzi.

Mahakama imepewa nguvu ya kulazimisha mtu awe shahidi (wa utetexi au mashitaka), kama itaona ushahidi wake unahitajika. Ikitokea shahidi hataki (not consent), mahakama ndio inaamua sio mtu mwenyewe. Alichokifanya DCI ni matakwa yake yeye, hajawa na kinga yeyote iwe subpoena, wala ushahidi wake haumfanyi kuwa na hatia, wala sio mtoto achilia mbali kuwa na shida ya akili.
Shida “waheshimiwa” mashahidi wangedhalilika.

Bora nusu shari kuliko shari kamili.

Hakuna aliye salama.
 
Utetezi (Lissu) alipaswa kuomba ufafanuzi na kuiachia mahakama iamue uamuzi mdogo juu ya ushahidi wa DCI. Alipaswa kuieleza mahakama kwamba bado anaona anahitaji ushahidi wa DCI, hata kama hataki. Na kuifanya mahakama iamue juu ya ushahidi wa DCI.

Kwa yeye (Lissu) kuiambia Mahakama kwamba, kwa DCI kukataa yeye anaona waendelee na submission, ni yeye kuifanya mahakama iwe kimya, maana hajalalamikia hilo kutaka ufafanuzi.

Mahakama imepewa nguvu ya kulazimisha mtu awe shahidi (wa utetexi au mashitaka), kama itaona ushahidi wake unahitajika. Ikitokea shahidi hataki (not consent), mahakama ndio inaamua sio mtu mwenyewe. Alichokifanya DCI ni matakwa yake yeye, hajawa na kinga yeyote iwe subpoena, wala ushahidi wake haumfanyi kuwa na hatia, wala sio mtoto achilia mbali kuwa na shida ya akili.
narogo soma hii comment kisha rejea huo uzi wangu utanielewa
 
Back
Top Bottom