G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi.
Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la Ghandi mahakamani nikahisi anafanya refaa ya kesi iliyowahi kuwepo India, nikiri sikujua kama ni kesi ya watanzania tena iliyowahi kutokea Tanzania.
Nimeisoma hii kesi asubuhi hii, pongezi ziende kwa wakongwe waliotudadavulia hili dubwasha la kina Ghandi na anko Tom. Huu sasa ndiyo uhaini. Uhaini unaandamana na njama na siyo mtu kuongea hadharani kwamba tutakinukisha then kesho watu wasiojielewa kama kina Kingai wanaanzisha mashitaka na kuwatupia mavi kina Katuga nao wanaingia kichwa kichwa bila kutafakari huku wakijidai eti ni mawakili wanasheria wasomi. Hovyoooo!
Mwamba Tom au anko Tom alikuwa mwamba na nusu. Huyu sasa ndiye mhaini. (Aliamua kupotea mazima sijui kwanini?)
Hakuna mhaini anayeitisha press na kusema tutakinukisha. Ni upuuzi wa aina yake tulioushuhudia tangia mwaka jana mwezi wa nne. Watu wamekula posho kwa kodi zetu kwenda kujadili upuuzi kwa zaidi ya mwaka na nusu.
Ni haki yetu kabisa kubadili jina kutoka KILAZA kwenda KATUGA. Tumpumzishe KILAZA kwa kutupa kampani ya kutosha, twendeni na version mpya ya kisasa "KATUGA"