The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/lU8LRvYsH04?si=XYv2S3YsrTVi-8Z2
Anasema:
1. Mungu amempa na kuiweka Tanzania yote mikononi mwake. Yeye ndiye Musa wa leo..
2. Wanaopanga kumuua au kumteka, kabla hawajamfikia watakuwa wamekufa wao. Hafi Leo wala kesho...
3. Wa kumteka au kumuua hayupo, hajazaliwa na hatazaliwa milele...!