Huko peke yako.Sijawahi kukuelewa msimo wako walah
Huyo nilishamweleza hayo hayo siku nyingi sana,
Nafikiri ni miongoni mwa hawa wasiopenda kujipambanua wajulikane wanakosimamia.
Watu kama huyu huwezi kuwategemea kwa lolote.
Huko peke yako.Sijawahi kukuelewa msimo wako walah
Samia atakapokimbia nchi utakimbia naye?mhamie burundi
Wewe unafikiri Mungu kakupa akili na maarifa vya kazi gani? Kama hamhitaji akili huko ccm sawa.Yuko tayari kwa lolote kivipi, mbona alikua chimbo kipindi kile?
Lakini alieiba kura hadi zikamwagika mabarabarani yeye hafikiwiKila aliye chochea atafikiwa kwa muda wake
USSR
Kila aliye chochea atafikiwa kwa muda wake
USSR
...wewe unafikiri Samia yuko wapi sasa unapokuwa humwoni?Yuko tayari kwa lolote kivipi, mbona alikua chimbo kipindi kile?