Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.
Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CHADEMA licha ya kushindwa uchaguzi wa Ndani ya Chama uliogubikwa na Matusi na kuvunjiana Heshima lakini sasa atarudi kama Mkombozi ndani ya Chama chake.
Viva Freeman Aikael Mbowe Chama kinarudi kwenye misingi yake siasa za matusi na Harakati basiii!