Baada ya Tundu Lissu na John Heche kufungwa Freeman Aikael Mbowe ndiye atakayewatoa Gerezani kwa Maridhiano atakayofanya

Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.

Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CHADEMA licha ya kushindwa uchaguzi wa Ndani ya Chama uliogubikwa na Matusi na kuvunjiana Heshima lakini sasa atarudi kama Mkombozi ndani ya Chama chake.

Viva Freeman Aikael Mbowe Chama kinarudi kwenye misingi yake siasa za matusi na Harakati basiii!
Hoja zenu ndio hizo kuwafunga wasiokubaliana na ccm. Huyo ameingia kwenye maridhiano yenu fake hakuna mlilobadili ukifika uchaguzi mnawakamata wapinzani na kuwateka huku wengine mkiawaua.
 
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.

Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CHADEMA licha ya kushindwa uchaguzi wa Ndani ya Chama uliogubikwa na Matusi na kuvunjiana Heshima lakini sasa atarudi kama Mkombozi ndani ya Chama chake.

Viva Freeman Aikael Mbowe Chama kinarudi kwenye misingi yake siasa za matusi na Harakati basiii!
Atapata kopo linaloitwa chama. Angalieni kilichotokea Kenya. ODM kinafikiri kinamiliki watu ila ukweli hawana chochote. People walk out when they dont see value. Mbowe can have an empty vessel called CHADEMA. He wont have the people at his disposal.
 
Naona kama itakuja kuwa kweliii,muda no mwalimu mzuri,let's wait and see the reality
 
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.

Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CHADEMA licha ya kushindwa uchaguzi wa Ndani ya Chama uliogubikwa na Matusi na kuvunjiana Heshima lakini sasa atarudi kama Mkombozi ndani ya Chama chake.

Viva Freeman Aikael Mbowe Chama kinarudi kwenye misingi yake siasa za matusi na Harakati basiii!
CHADEMA ya Mbowe itakuwa ni Saccos tu
 
Kwanini Mbowe asimamie hayo maridhiano na sio viongozi wengine wa Chadema waliobaki?

Next time mkija na hizi story zenu mtuambie Mbowe ataingia kwenye "maridhiano" na CCM kwa nafasi ipi?

Japo najua kwa hii tabia ya kukimbilia kwetu mitandaoni badala ya kwenda field, CCM wanaweza stage whatever scenario to the end na tusifanye chochote!.

Huu upinzani wa mitandaoni kamwe hautaleta mabadiliko nchi hii, kukimbilia story za Mange insta na ku-repost ni dalili ya mwanzo kabisa ya uzembe na uvivu.

NB.
Kama ulichokiandika kitakuwepo, nasubiri nione kama lissu atakubali kutoka gerezani kwa mgongo wa maridhiano kati ya Mbowe na CCM.
 
Yeye atakua mwenyekiti wa Chadema Taifa
 
Yeye atakua mwenyekiti wa Chadema Taifa
Kwa uchaguzi upi?

Haya mambo inawezekana yanapikwa na CCM kupitia msajili, ila kama yatakuja kutokea kweli nasubiri nione ractiin ya Chadema kuyapinga, wakinyamaza ndio basi tena...
 
Kwa uchaguzi upi?
Baada ya Tundu Lissu na John Heche kufungwa lazima Baraza kuu liiitishwe ufanyike uchaguzi au Maria Sarungi na Rachel Dangwa ndiyo watakua viongozi?
 
Baada ya Tundu Lissu na John Heche kufungwa lazima Baraza kuu liiitishwe ufanyike uchaguzi
Ok, naona point yako imeegemea Lissu kufungwa, hebu kwanza tuambie atafungwa kwa muda gani?
 
Ndicho mlichopanga wauaji wakubwa nyie mnaua watu hata Wakoloni hawakuua watu kama nyie siku zote mtaandikwa kwa damu za watu mlioua hatutawasahau
 
Back
Top Bottom