Lissu ni mwanaume wa shoka sana tena sana tarehe 6/11/2026 akitoka tunaenda kumbeba juu juu na hapo ndio maccm yatajinyea mavi.Imagine alikuwa anaongozwa na madalali wa siasa ila akawa mvumilivu akijua iko siku atakomesha huo mfumo
Mbowe na madalali wenzake wameshapoteana
Lema alijijengea heshima kwa muda mrefu ametumia miez michache sana kuifuta
Aibu
Chadema ikija kushtuka itajikuta haina mwanachama hata mmoja.
Uanachama ni imaniChadema ikija kushtuka itajikuta haina mwanachama hata mmoja.
Na ndicho tunachoombea kitokee na kwa kudra zake Mungu itatokea tu!Sasa si ndo vizuri
Kweli. Ila kuongoza nchi ni kuuza sera, kushiriki Uchaguzi Mkuu na kupiga kura.Uanachama ni imani
Kwenye tume huru ambayo mshindani hatakiwi kuchagua mkurugenzi wa uchaguzi kila kura iheshimiweKweli. Ila kuongoza nchi ni kuuza sera, kushiriki Uchaguzi Mkuu na kupiga kura.
Hawawezi kumuachia kirahisiLissu ni mwanaume wa shoka sana tena sana tarehe 6/11/2026 akitoka tunaenda kumbeba juu juu na hapo ndio maccm yatajinyea mavi.
Mengine yakukaa kimya mkuu,kuna doria humu boss,usije ukaonekana mwangaLissu ni mwanaume wa shoka sana tena sana tarehe 6/11/2026 akitoka tunaenda kumbeba juu juu na hapo ndio maccm yatajinyea mavi.
Binafsi naomba muendelee kuzira ili tuendelee kuongoza.Kwenye tume huru ambayo mshindani hatakiwi kuchagua mkurugenzi wa uchaguzi kila kura iheshimiwe
Mnaongoza kwa wizi mnajaza vote feki kwa kuogopa ushindani halisi maana mnajua fika kuwa hamkubaliki kwa wanainch walio wengiBinafsi naomba muendelee kuzira ili tuendelee kuongoza
Kama hamshiriki Uchaguzi Mkuu, hayo unayoongea ni UJINGA na UPUMBAVU!Mnaongoza kwa wizi mnajaza vote feki kwa kuogopa ushindani halisi maana mnajua fika kuwa hamkubaliki kwa wanainch walio wengi
Fanyeni siasa za haki na kistaarabu na haki ili kuthibitisha na kupima kauli yako ya Chadema kukosa mwanachama hata mmoja.Chadema ikija kushtuka itajikuta haina mwanachama hata mmoja.
Tuliza ndonga sababu gani hasa hamtaki free and fair election maana kama mnakubalika mbona easy tu kushinda kwa kura halaliKama hamshiriki Uchaguzi Mkuu, hayo unayoongea ni UJINGA na UPUMBAVU!
Ila sisi CCM na wananchi wazalendo wa nchi hii, tunaomba wajinga wajinga na wapumbavu kama nyie muendelee kususia Uchaguzi Mkuu.
A winner is a dreamer who never gives upImagine alikuwa anaongozwa na madalali wa siasa ila akawa mvumilivu akijua iko siku atakomesha huo mfumo
Mbowe na madalali wenzake wameshapoteana
Lema alijijengea heshima kwa muda mrefu ametumia miez michache sana kuifuta
Aibu
Umesema vizuri, kama mnakubalika kwa nini mnaogopa uchaguzi huru na haki?Tuliza ndonga sababu gani hasa hamtaki free and fair election maana kama mnakubalika mbona easy tu kushinda kwa kura halali