Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao.
Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
Wakuu,
Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum.
Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni diwani wa viti maalum kupitia CCM mwaka 2011 hadi mwaka 2015. From there akashika nafasi tofauti...
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema:
"Kama walichokizungumza CHADEMA kitaenda kufanikiwa basi inaenda kuleta ugomvi kati ya raia na vyombo vya dola,kwasababu...
Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri
Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi na Rais wakati wowote akitaka wala bila kufuata sheria za Utumishi wa umma , na mtumishi huyo hana pa...
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa.
Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa...
Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano.
Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania.
Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
"Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani.
Soma: Hali ya Vyombo vya...
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini.
Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.