Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi hauwezekani tena kwa mazingira ya sasa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
LISSU KWENYE UKURASA WAKE WA X (TWITTER) AMENENA MAZITO ASEMA HATA AKIBAKI MWENYEWE CHADEMA ITASONGA.
Hayo yamekuja mara baada ya viongozi mbalimbali wa Kanda wa CHADEMA kujiuzulu kwa madai ya Chama chao (CHADEMA) kukosa Muelekeo na Kwenda kujiunga na ACT wazalendo ili kuongeza nguvu kwenye...
Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
Kuelekea uchaguzi wa 2025, Oktoba, tujadiliane kuhusu uchaguzi huu.
Wadau habari,
Tushirikishe mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi huu, ikiwa ni pamoja na masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, na kimataifa. Tunahitaji kuelewa ni changamoto gani zinazoweza kuibuka, ni sera zipi zitajadiliwa na...
Ni vigumu sana Tundu Lissu kufanikiwa kisiasa kwasababu ni mtu wa tuhuma na wala hathamini michango ya wanasiasa wenzake ndani na nje ya Chama
Tundu Lissu ni mtu complicated sana na ni vigumu kufanya nae kazi na hawezi kufanikiwa kisiasa hata umfanyie jema gani hawezi kukuthamini. Pamoja na...
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.
Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa
Kupata taarifa...
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
Wakati akifanya mahojiano na ITV, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amehoji ni wapi Rais anatoa fedha za kuwapa viongozi wa dini? kwa mshahara upi?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji...
Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.
Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
Wakuu,
CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good...
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
WanaJF
Nimekutana na taarifa hii huko mtandaoni. Je, ina ukweli wowote?
Hali ya kiafya ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeendelea kuzorota, hali iliyolazimu apelekwe nchini Ubelgiji kwa matibabu ya dharura. Kutokana na changamoto za afya...
Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe
Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja.
Lakini atumuoni wakati hili ni eneo lake la kiuongozi kwenye chama.
Je, Tundu Lissu amemtenga au bado Lissu ameshindwa...
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.