Wakuu,
Ndugu zangu Tlaatlaah johnthebaptist FaizaFoxy Lucas Mwashambwa na genge lenu bado mnaona Lissu 'anaropoka' au dawa ishaanza kuwaingia? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Ila kwa jinsi vyombo vya habari vinavyolipwa kumchafua Lissu sasa hivi mtakuwa mna mhaho wa hatari!:KEKWlaugh:
=====...
Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi.
Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi.
Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia...
Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-
1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni
2. Maji safi na salama eneo husika
3. Vifaa mashuleni na walimu na moundo mbinu
4. Wataalam wa afya vituo vingi...
Wakuu,
Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike?
Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka?
Siku ya leo akiwa Ikungi Singida, Lissu amesema:
"Tutazuiaje, kila mtu na ajiongeze. Ikungi hapa tukilala...
Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe...
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.
Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.
Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.
Naona Simu...
Tazama mapokezi ya Lissu Ikungi akielekea kufanya mkutano mkubwa nyumbani kwao Ikungi Singida
Fuatilia uzi huu kujua nini kimejiri
https://www.youtube.com/watch?v=qi1dGtNY5c0
Wakuu,
Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu
Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu
Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Wakuu
Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa.
Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha
Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro.
Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
Wakuu,
Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Maandalizi yamekamilika kwa ajili ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu, leo Ijumaa Februari 14, 2025, katika Manispaa ya Morogoro.
Lissu, ambaye yuko njiani kuelekea Ikungi, Singida, atasimama katika eneo la Msamvu kuwasalimia wananchi kabla...
https://www.instagram.com/reel/DGDYoxxsvim/?igsh=MWEzdmNjenoyaWIyYQ==
Watu mbalimbali waliiiongea na EFM wameshtushwa kusikia leo Lissu anaenda Ikungi baada ya kawatelekeza.
Wanauliza familia yake ipo wapi? Mke wake yupo wapi? Watoto wake wapo wapi? Mji wake Ikungi upo wapi?
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye...
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono
Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi
Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wakiaminisha watu kwamba Mwenyekiti wao Tundu Lissu hatoshi katika nafasi hiyo...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.