tundu lissu

  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

    Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni tume hiyo hiyo ya Mwaka 2020 na wao wanasema mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mbaya na wao walikuwa...
  2. Lord denning

    Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  3. R

    Pre GE2025 Wasira azijibu hoja za Mzee mwenzie Jaji Warioba kabla ya kujibiwa na Tundu Lissu

    Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba. Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
  4. S

    Lissu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu Jamii Forums alikuwa akipata support maelfu sasa anapata kiduchu kulikoni?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni? Toka...
  5. M

    Pre GE2025 Lissu anaipa ushindi CCM mapema sana

    Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae! Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza...
  6. Carlos The Jackal

    Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  7. T

    SI KWELI Lissu amesema wamepokea ushauri wa viongozi wa dini kuhusu uchaguzi na wametii, na amesema bora nchi iwake moto tuanze upya

    Wakuu jamiiCheck je ni kweli Lissu ameyasema haya? Pia nimekutana na hii inadai kuwa Kasema "BORA NCHI IWAKE MOTO TUANZE UPYA "KUNA UKWELI KUHUSU MANENO HAYO
  8. J

    Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  9. Nyani Ngabu

    Leo nimefurahi sana kumsikia Tundu Lissu akisema yale ambayo nimekuwa nikiyasema kwa miaka mingi!

    I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism. Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa. Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza. Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio. Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
  10. Lord denning

    Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  11. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Wasira ana miaka zaidi ya 50 akiwa kiongozi, ana kipi kipya cha kufanya naye mdahalo?

    Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira. Amedai kwamba Mh. Steven Wasira amekuwa kwenye uongozi kwa miaka mingi kwa hiyo hana jipya la kufanyia Mdahalo. Kupata...
  12. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu afafanua No Reform No Election, hatuzungumzii kususia uchaguzi na hatutasusia bali Uchaguzi hautofanyika!

    Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025. Akiongea kwa nukta...
  13. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tunawakaribisha Watanzania wote wajiunge na CHADEMA, Jambo la wengi ni Jambo la Mungu

    Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu. Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa. Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa. Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Tupo tayari kufa kulinda msimamo wa CHADEMA na maslahi ya Wananchi, Rais wa Tanzania amegeuka kuwa Mungu

    John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

    Wakuu Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa. Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
  16. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  17. M

    Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

    Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo. Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti. Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
  18. Erythrocyte

    Tundu Lissu awasili Manyara kushiriki Msiba wa Derrick Magoma

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma. Taarifa iliyosambazwa na chama chake Duniani kote hii hapa. Mungu Ibariki Chadema
  19. Tlaatlaah

    Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

    Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi. Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa...
Back
Top Bottom