we ni kichaaKOSA LA UHAINI NI KUNYONGWA
Uhaini adhabu ni moja. Kunyongwa mpaka kufa. Sidhani kama majaji 3 wanaweza kukubali kuwa MBWA KOKO kiasi hicho!Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.
Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Kabisa ,hata Lissu amesema either anyongwe au aachiwe, kwa shitaka lake haliwezi kuwa kifungo cha miaka mitano au maisha.KOSA LA UHAINI NI KUNYONGWA
We unahisi watafanya niniEndapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.
Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Wahaini ndiyo hao aina ya lisu na pambaluSasa kama wakisema adhabu ya kesi ya uhaini ni kifungo cha miaka mitano , serikali haioni kuwa hiyo ni hatari kwa upande wao maana wataibuka wahaini wengi
Mtafanya nini kwanWaambie wafanye hivyo alafu wataona
Ni kweli hakuna hukumu ndogo kwenye uhaini kosa la uhaini ni kunyongwawe ni kichaa
Unashauri Chadema wafanye nini wakati mstakiwa alishasema yeye yupo tayari kunyongwa kama kweli alitenda kosa.Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.
Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Kosa lake ni nini? Amefanya robo uhaini?Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.
Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Hao majaji watakao mhukumu kifungo cha miaka mitano mtu aliyetiwa hatiani kwa kosa la uhaini, wataingia kwenye orodha ya majaji watatu wa ajabu Dunia haijapata kushuhudia.Uhaini adhabu ni moja. Kunyongwa mpaka kufa. Sidhani kama majaji 3 wanaweza kukubali kuwa MBWA KOKO kiasi hicho!
Full stop!KOSA LA UHAINI NI KUNYONGWA