CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

Kuna mmoja kapewa habari hii na yeye kaileta public kama ilivyo, target yao wanataka kumjua 'panya' anayevujisha habari
 
Yani umafia wote huu ni ili watu waendelee kukaa madarakani! Wakati niko mdogo niliamini sisi watanzania ni malaika ni watu wema! Na hii ilitokana na viongozi toka Nyerere Mwinyi na mkapa baadae kikwete kuhubiri amani Kwa vitendo kumbe nilikosea sana sikujua kama ardhi ya Tanzania inaweza kutoa watu aina ya idiamini tena mwanamke. Aisee kuwa uyaone.
 
Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.

Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Nani mkweli, tumsikilize nani? Soma hii

‼️🚨TUNDU LISSU KIFUNGO MIAKA 5, WAPANGA CHADEMA KUBOMOLEWA‼️
Kama mnafikiri hawa waovu wanaweza kuchoka au kujirudi SAHAUNI! Wamepanga hivi baada ya kushauriana:
👉🏽 Tundu Lissu wanaenda kumfunga miaka mitano! Kimama kimeshauriwa na Jaji Mkuu kuwa uhaini ni kuhukumiwa kunyongwa au kufutiwa kesi! Hasikii! Anataka Lissu atoke 2031 ili uchaguzi wa 2030 upite agombee yeye au Bashite au Ridhwani! Wapumbavu wote hawa ila wanaamini upumbavu wao kwa dhati
👉🏽Wameshaanza kutengeneza mgogoro ndani ya Chadema. Na alivyosema MangeKimambi wanasubiri watangaze hukumu ya Lissu waanze kutoka sasa wale wa “hekima” na “strategic engagment” wanataka Lissu akitoka asikute Chadema anayoijua ibaki gofu tu ya madalali!
👉🏽 Tume ya Jaji Lila litaanza kuwaita viongozi wa Chadema hata Lema naambiwa inawezekana muda huu anaenda kuhojiwa ILA yake ni danganya toto arudishe imani ila wamemlenga Heche hapo na wale “wabishi”
👉🏽 kila anayeonekana kuwa mwiba kwao atashughulikiwa na hii tume ama kutekwa ili wapate utulivu kula nchi vizuri na wajirithishe mali!

Siwaandikii kuwakatisha tamaa - la HASHA! Ni kuwaambia kwamba huu ndo muda wa kupambana na hakuna wa kuja kutuokoa! Hawa mafedhuli HAWANA MPANGO wa kurudi nyuma! Bora tujaribu kupambana kwa moyo wote tufanikiwe au tusifanikiwe ila tutajua we did everything we could possibly do! Lazima kumtoa Lissu kifungoni! Hiki kinachoendelea si kesi ni upumbavu! Tusitake akate tamaa!

Na wale wana CCM wanaodhani wako salama wajue nao watafuatwa! Maana kwa sasa genge la mashetani wanataka kula tu na kutufanya manamba!
We need to fight like HELL au tumekwisha kama nchi!
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
 
Ukipatikana na hatia ya uhaini adhabu ni moja tu.

Sasa ukimhukumu kinyume na sheria maana yake majaji watainajisi mahakama kwa mikono yao.

Uzuri Lissu mwenyewe alishaitahadharisha mahakama kwamba kwenye uhaini hakuna kosa dogo ndani yake hivyo kama hana hatia aachiwe huru na kama ana hatia yupo tayari kunyongwa.
 
Kwanza Lissu hafiki 2030 ni Mgonjwa na muathirika. Halafu CHADEMA wanaweza nini sasa uwaambie washtuke. Ni nyumbu tu kama kawaida.
 
Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.

Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Gentleman,
still you can do nothing with that nonsense narrative 🐒
 
Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele.

Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
Na nyie kama mmesahau kuwa sisi huwa tunaenda kivyetu vyetu!
 
Lakini hivi watu wanatambua kwamba maamuzi yatakayochukuliwa dhidi ya kesi ya lissu baadhi yatakuwa sheria???
 
Kwanza Lissu hafiki 2030 ni Mgonjwa na muathirika. Halafu CHADEMA wanaweza nini sasa uwaambie washtuke. Ni nyumbu tu kama kawaida.
Duh umechukua Hadi nafasi ya mwenyezi MUNGU, unajuaje ndugu huenda ukatangulia wewe kabla ya huyo unayesema mgonjwa na mwathirika, nakukumbusha TU Kifo na uhai vinatenganishwa na mstari mwembamba Sana ,
 
Hao majaji watakao mhukumu kifungo cha miaka mitano mtu aliyetiwa hatiani kwa kosa la uhaini, wataingia kwenye orodha ya majaji watatu wa ajabu Dunia haijapata kushuhudia.
Na hawawezi kufanya hivyo.........I am sure by 100%.......mbona nao wana ndugu wanawashauri what to do!
 
Bado nashika neno la Lisu, mkiona naanza kuogopa na ninyi anzeni kuwa na wasiwasi,
 
Back
Top Bottom