Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema;

"Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na mwanasheria mkuu wa serikali. Nikamwambia tafadhali mheshimiwa Nchimbi, tusaidie. Tunaomba kitu kimoja tu, ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-Amesema Lema

​
 
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?

Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?

Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Umesahau msemo wa sa100 katiba ni kakijitabu tu.

Kwasemo huo hiyo katiba itaheshimiwaa na nani?
 
Nyie Chadomo ni wapumbavu,si mnaswmaga hii ni kesi ya Kisiasa? Sasa hapo kosa la Lema liko wapi?

Kama sio kosa la Kisiasa acha mahakama iamue na Samia msimhusishe
 
Huyo Lema atakuwa mpumbavu kama ataendelea kukaa kwenye chama ambacho haaminiki anaitwa Project.

Sasa kwani lazima kuwa Chadomo? Ila Sasa kama hakuwa project manake Kwa Sasa anatakiwa kuachana na siasa aendelee na Maisha mengine maana Kwa CCM atakuwa liability na Kwa Chadomo wanamuita msaliti.

Shida zote huzi ni Kwa sababu hana msimamo mkali Sasa wajiandae kina Boni Yao,Sugu na Mnyika na wengine ambao ni moderate
 
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?

Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?

Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
"ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-hauna habari hilo mahakama iliamuru ni haki yake kukutana na viongozi na wanasheria wake.
 
Huyo Lema atakuwa mpumbavu kama ataendelea kukaa kwenye chama ambacho haaminiki anaitwa Project.

Sasa kwani lazima kuwa Chadomo? Ila Sasa kama hakuwa project manake Kwa Sasa anatakiwa kuachana na siasa aendelee na Maisha mengine maana Kwa CCM atakuwa liability na Kwa Chadomo wanamuita msaliti.

Shida zote huzi ni Kwa sababu hana msimamo mkali Sasa wajiandae kina Boni Yao,Sugu na Mnyika na wengine ambao ni moderate
Aende kwa machawa wenzake CCM. Madhara CHADEMA iliyopata mikononi mwa CCM sio ya kufanyiwa strategic engagement.
 
Umesahau msemo wa sa100 katiba ni kakijitabu tu.

Kwasemo huo hiyo katiba itaheshimiwaa na nani?
Point yangu ni kwamba hata wapinzani wanaosema rais ana nguvu sana, mahakama zinaendeahwa kwa amri kutoka juu, na wao wanataka Samia aingilie mchakato ulio mahakamani na kumaliza kesi zao.

Wanakuwa na urahisi sana wa kutaka Samia asiingilie kesi wanapotaka wao kwa faida zao, lakini ikiwa Samia ataingilia kesi na wao kupata faida, wanaona sawa tu.

This is a contradiction.

By the way, nafikiri Tundu Lissu anapingana na hizi habari za kutaka Samia aingilie kesi, kwa sababu yeye alisema hataki upendeleo, anataka kesi iendeshwe na ihukumiwe kwa haki tu.

Tundu Lissu anataka kushinda kesi kwa haki, si kufutiwa kesi na Samia.

Kwa hiyo hii mipango ya kutafuta fadhila za Samia ili Tundu Lissu aachiwe, inapingana na falsafa za Tundu Lissu.
 
Aende kwa machawa wenzake CCM. Madhara CHADEMA iliyopata mikononi mwa CCM sio ya kufanyiwa strategic engagement.
Ndio maana anatakiwa kutoka na akae pembeni kama Mbowe Ili nyie wapumbavu ndio muanze kuimba nyimbo za Kwa nini Mbowe haendi mahakani.

Kuendelea kukaa kwenye kundi la wapumbavu eti unawaelikisha watakudhuru,chama kinaongozwa na kina Mange,Lisu anasikiliza bwana zake Mabeberu na wengine ni Bendera fuata upepo
 
Mpumbavu mwenyewe, stupid idiot. Aende huko CCM kwa machawa wenzake kama wewe. Ambao hamuwezi kuishi bila buku Saba.
 
Rejea maelezo yangu,kama alitumwa na CCM ataenda ila kama ni msimamo wake akae pembeni kama Mbowe,Fatuma Karume na wengine ambao ni moderate.

Then mtarudi hapa kuwalilia mnapozidi kupewa kibano na Dola.Kukaa kwenye kundi la wapumbavu ni hatari
 
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?

Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?

Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Mahakama ambayo Babu wasira anasema anapanga yeye! Sasa hapo maana yake si anapanga samia
 
Point yangu ni kwamba hata wapinzani wanaosema rais ana nguvu sana, mahakama zinaendeahwa kwa amri kutkka juu, na wao wanataka Samia aingilie mchakato ulio mahakamani na kumaliza kesi zao.

Wanakuwa na urahisi sana wa kutaka Samia asiingilie kesi wanapotaka wao kwa faida zao, lakini ikiwa Samia ataingilia kesi na wao kupata faida, wanaona sawa tu.

This is a contradiction.

By the way, nafikiri Tundu Lissu anapingana na hizi habari za kutaka Samia aingilie kesi, kwa sababu yeye alisema hataki upendeleo, anataka kesi iendeshwe na ihukumiwe kwa haki tu.

Tundu Lissu anataka kushinda kesi kwa haki, si kufutiwa kesi na Samia.

Kwa hiyo hii mipango ya kutafuta fadhila za Samia ili Tundu Lissu aachiwe, inapingana na falsafa za Tundu Lissu.
💯%.

Kulalama kuwa Rais [the presidency, not the illegitimate Samia] ana nguvu halafu kwa wakati huo huo kumtaka aingilie kati when it is seemingly convinient for you, is a major contradiction.

Lema likes to carry himself as some sort of a sophisticated guy, but he is not. He’s far from it.
 
Oohh! kumbe alikuwa na connection na Nchimbi na Mwanasheria mkuu, mpaka hapo huyo alikuwa na mengine ya kwake
Alitumwa na CHADEMA au Njaa zake

Fukuzeni hiyo Takataka katika chama ameshakuwa kikwazo na msaliti
 
Back
Top Bottom