Sio chadema, sema Lema ndio anajicontradict. Wanacdm wengi wanataka mahakama itende haki, na sio kutegemea hisani za rais yoyote aliye madarakani. Unakwama wapi Kiranga?Nina habari.
Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?
Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?
Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Hizi lugha alizianza Mbowe baada ya kulamba asali. Nakumbuka akiwa kwenye mkutano wa hadhara huko Mwanza akiwa jukwaani amelewa chakari, akawa anasema watu wanataka amtukane Rais, lakini yeye sio wa siasa za hivyo, watu wote wakaguna kwa yeye kusema Samia ni rais mzuri. Mara akawa anaongelea sijui miafaka na upuuzi wa aina hiyo. Ni ukweli kuwa baada ya Mbowe kauchiwa toka gerezani akaanza siasa za kulinda maslahi yake, kinyume na wafuasi wake waliotaka mabadiliko.Tumewaumiza sana CCM kwa taarifa za uongo!! Dah huyu ndugu leo kamwaga facts sana ambazo sikutegemea 😀
Amejaa kiburi kibaya sana! Lugha kama " nikitaka kuonana na Mbowe sina haja ya kuaga mpumbavu yeyote" .....why all this words kwa mtu anayejinasibu ni mstaarabu.Hizi lugha alizianza Mbowe baada ya kulamba asali. Nakumbuka akiwa kwenye mkutano wa hadhara huko Mwanza akiwa jukwaani amelewa chakari, akawa anasema watu wanataka amtukane Rais, lakini yeye sio wa siasa za hivyo, watu wote wakaguna kwa yeye kusema Samia ni rais mzuri. Mara akawa anaongelea sijui miafaka na upuuzi wa aina hiyo. Ni ukweli kuwa baada ya Mbowe kauchiwa toka gerezani akaanza siasa za kulinda maslahi yake, kinyume na wafuasi wake waliotaka mabadiliko.
Alipokosa uenyekiti akazira, na team yake ikahamia Chauma! Hadi leo Bado ana donge. Hizi lugha za Lema zinaashiria tayari ameanza kuangalia maslahi yake binafsi, na sio ya chama, kwani misimamo ya chama kwa sasa inahatarisha maslahi yake. Inshort Lema anacheza script aliyopewa Mbowe ya kulamba asali.
Mbowe hajakaa pembeni alistafoshwa kwa lazima kwa kupigwa chini kwenye Uchaguzi wa Chama. Fatma Karume hajawahi kuwa CHADEMA Bali ACT. Lema baada ya kugundua amegundulika anatafuta mlango wa kutokea.Rejea maelezo yangu,kama alitumwa na CCM ataenda ila kama ni msimamo wake akae pembeni kama Mbowe,Fatuma Karume na wengine ambao ni moderate.
Then mtarudi hapa kuwalilia mnapozidi kupewa kibano na Dola.Kukaa kwenye kundi la wapumbavu ni hatari
haaaaaaa haaaaaaa!!! Nimekuelewa sana mkuuTumewaumiza sana CCM kwa taarifa za uongo!! Dah huyu ndugu leo kamwaga facts sana ambazo sikutegemea 😀
Kumbuka serikali hii ni haramu mzee hamna anayeitambua vipi huyu mchaga?makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na mwanasheria mkuu wa serikali
Wewe ungekubali kosa ambalo hujafanya.Lisu kinachomtesa ni taaluma yake.
Angekuwa sio mwanasheria angeangalia kesi yake katika Angle nyingine.
Lema ni Tapeli sana.Jamaa ana namba za Makamu wa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye speed dial halafu anataka kutuaminisha kuwa tunafanana naye.
Sasa mnampigia makelele yenu ya kijinga ya nini?Mbowe hajakaa pembeni alistafoshwa kwa lazima kwa kupigwa chini kwenye Uchaguzi wa Chama. Fatma Karume hajawahi kuwa CHADEMA Bali ACT. Lema baada ya kugundua amegundulika anatafuta mlango wa kutokea.
Nolle Prosequi siyo verdict ya not guilty.Nafikiri wanataka serikali ambao ndiyo waliofungua case waifute (mfano kwa njia ya nolle prosequi). Kutokuwa na nia ya kuendelea nayo kwa maslahi ya umma kwa mfano. Ni mamlaka ambayo wanayo kisheria. Na kuifuta case siyo kuingilia mahakama, wanayo hiyo mandate kisheria.
Kitokutumwa na chama si hoja, Lema ni kiongozi wa chama.Kuna sehemu Lema amesema kuwa alitumwa na chama kwenye hiko kikao na makamu wa rais aliyepita kwa kufukuzwa na uwanachama CCM?
Kauli za Lema si za chama bali ni za kwake kutokana na matamshi yake mwenyewe.
Lema ni kiongozi mkubwa CHADEMA, na pia mpaka sasa hakuna kauli ya CHADEMA kusema kuwa huo ni msimamo wa Lema si wa chama.Sio chadema, sema Lema ndio anajicontradict. Wanacdm wengi wanataka mahakama itende haki, na sio kutegemea hisani za rais yoyote aliye madarakani. Unakwama wapi Kiranga?
Anaye toa hiyo haki ya ushindi wa lissu boss wake ni nani?Point yangu ni kwamba hata wapinzani wanaosema rais ana nguvu sana, mahakama zinaendeahwa kwa amri kutoka juu, na wao wanataka Samia aingilie mchakato ulio mahakamani na kumaliza kesi zao.
Wanakuwa na urahisi sana wa kutaka Samia asiingilie kesi wanapotaka wao kwa faida zao, lakini ikiwa Samia ataingilia kesi na wao kupata faida, wanaona sawa tu.
This is a contradiction.
By the way, nafikiri Tundu Lissu anapingana na hizi habari za kutaka Samia aingilie kesi, kwa sababu yeye alisema hataki upendeleo, anataka kesi iendeshwe na ihukumiwe kwa haki tu.
Tundu Lissu anataka kushinda kesi kwa haki, si kufutiwa kesi na Samia.
Kwa hiyo hii mipango ya kutafuta fadhila za Samia ili Tundu Lissu aachiwe, inapingana na falsafa za Tundu Lissu.
Ni kweli. Tatizo ni jamhuri kutumia mahakama kukoma political opponents. TZ siku hizi Kuna kauli "tutakupa kesi ya..." Just imagine case unapewa sio kwamba una tuhuma mahsusi.Nole Prosequi siyo verdict ya not quilty.
Haioneshi Tundu Lissu hana hatia, haioneshi serikali imekosea kumfungulia mashitaka.
Inaonesha tu serikali haitaki kuendelea na mashitaka.
Na Tundu Lissu alisema yeye hataki kesi ifutwe kama anafanyiwa favor, alisema anataka haki pasupasu.
Hiyo si Nole Prosequi.
In any case, kiserikali kihaki kabisa, Nole haitakiwi kutoka kwa Rais. Inatakiwa kutoka kwa DPP, kwa sababu za kisheria, kimantiki, si political convenience na deals za kumuhusisha rais. Hapo itakuwa rais anaingilia kazi za professionals
Pia, Nole Prosequi, kwa sababu si verdict ya not guilty, maana yake charges zimekuwa dropped kwa sasa na zinaweza kufunguliwa upya baadaye.
Tundu Lissu hataki hilo anataka kesi imalizike kwa guilty or not guilty.
Hiki alichokisema Lema, kwa nia ya kumsaidia Lissu, hata Lissu mwenyewe hataki.
Viongozi wote wa mahakama wanaosimamia kesi ya lissu wameteuliwa na rais broo huelewi nini hatatendaje haki hapo kama sio kupiga magoti kwa boss wao?Sio chadema, sema Lema ndio anajicontradict. Wanacdm wengi wanataka mahakama itende haki, na sio kutegemea hisani za rais yoyote aliye madarakani. Unakwama wapi Kiranga?
Na kwa hatua case ilipofika ni hukumu tu mambo ya nolle yalifaa kabla hata ya case kusikilizwa.Ni kweli. Tatizo ni jamhuri kutumia mahakama kukoma political opponents. TZ siku hizi Kuna kauli "tutakupa kesi ya..." Just imagine case unapewa sio kwamba una tuhuma mahsusi.
P.s. kwa maoni yangu hii case ingefutwa tu kwa nolle maana haina maslahi kwa jamhuri sana sana serikali inaendelea kuchukiwa. Kisheria nolle ni mamlaka ya DPP, lakini behind the scenes jambo linaamuliwa na serikali let's say cabinet au labda watu wa intelligence, then mnaona tu DPP Kafuta case. Hii haimaanishi watu wa siasa hawajahusika.
Kama anaingilia mahakama kwa nini aliua watanganyika maelfu na maelfu wakati mamlaka hayo hana?Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?