Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hujaelewa hoja.Anaye toa hiyo haki ya ushindi wa lissu boss wake ni nani?
Hapo boss lazima abembelezwe na wakubwa wa chama
Hiyo habari ya haki ya ushindi wa Lissu haitakiwi kujali anayetoa boss wake nani. The question is irrelevant.
That is the whole point.
CHADEMA wanataka mahakama itoe haki bila ya kujali nani ni boss wa nani.
Na Lema ana contradict hiyo point kwa kitaka Samia aingilie kesi.
Hiyo point unaielewa au imekuwa ngumu sana kuielewa?
Naelewa kwa akili za kuangalia mambo kibongobongo point inaweza kuwa ngumu sana kueleweka.
Lakini hatuwezi kutatua matatizo ya Bongo kwa kukubali matatizo ya Bongo, inabidi tuyakatae na tuyatatue matatizo.
Lema kayakubali matatizo, hayatatui matatizo.
Ndiyo maana Lissu alikataa kufutiwa kesi kama fadhila, akataka kesi ipate hukumu pasupasu kwa haki.
Lissu anaelewa point ninayoizungumzia.
Tatizo ni, je, Watanzania wanaielewa?