Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

"ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-hauna habari hilo mahakama iliamuru ni haki yake kukutana na viongozi na wanasheria wake.
Nina habari.

Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?

Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?

Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
 
Pointless press conference!

Halafu, kumbe baadhi ya mambo ambayo yalikuwa yanadaiwa dhidi yake ni ya kweli.
Yaani anathibitisha doubts za watu. Kwamba iulikuwa na maongezi na watawala. Mbona hasemi aliyemtuma kuongea na watawala? Mbona hasemi alianzaje? Mbona hasemi yote waliyoongea? Zitto nae alianza hivi hivi na Lema ndio alikuwa mstari wa mbele kumsanukia. Leo yeye Sasa, anataka tutumie busara Kama zitto alivyokuwa anatuambia. Shenzi type.
 
Mahakama ambayo Babu wasira anasema anapanga yeye! Sasa hapo maana yake si anapanga samia
Swali ni kwamba, CHADEMA wanataka apange Samia au asipange Samia?

Kama wanataka apange Samia, basi wasilalamike habari ya mahakama kuendeshwa kwa "amri kutoka juu".

Kama hawataki apange Samia, basi wasiombe Samia amalize kesi ya Lissu.
 
Yapo mambo mengi ya msingi ameongea Lema. Pamoja na udhaifu wake lakini yapo mengi si ya kupuuza.

Lakini Lema pamoja na yote kwanini itumie lugha za matusi? Unasema ubaya haulipwi kwa ubaya lakini umetumia lugha mbaya mbaya sana.

Anyway sisi wengine kazi yetu kuwaombea.
 
"Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na mwanasheria mkuu wa serikali. Nikamwambia tafadhali mheshimiwa Nchimbi, tusaidie. Tunaomba kitu kimoja tu, ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-Amesema Lema

Je. Haya yalikuwa maamuzi ya Chama kumuagiza Lema akawaambie hawa ama yalikuwa maamuzi yake binafsi.?
 
Nina habari.

Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?

Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?

Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Kwani Lema alitumwa na Chadema?

Lema anajiongeza kuwa pamoja na uharamu wa Samia, na mahakama kuamuru vinginevyo, ila uhalisia nikuwa magereza na mahakama zinapokea amri na kutii amri za wahuni.

Angalia kesi ya Mpina kuh kugombea uraisi.

Wahuni wameshika hatamu.
 
Kwamba katumwa au hajatumwa ni irrelevant, kwa sababu yeye ni kiongozi wa chama.

Sijasema hajajiongeza, nasema huko kujiongeza kuna contradiction.

Wachague msimamo.

Ama Samia ana nguvu sana, mahakama kuendeshwa kwa amri kutoka juu ni vibaya, Samia asiingilie hata kesi ya Lissu, mahakama ifuate haki (msimamo wa Lissu).

Ama wakubali Samia kuendesha mahakama kwa amri kutoka juu ni sawa, kwa kesi ya Lissu na nyingine.

Wasitake kuwa na standard moja kwa kesi ya Lissu, halafu tofauti kwa kesi nyingine.
 
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?

Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?

Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?

Sheria za wapi unazozungumzia? Za hapa Tanzania ambapo serikali inazivunja kila ikiamua?
Kwani Mbowe aliachiwa kwa sheria gani? Mahakama au DPP? Si tulishitukia tu mwamba ameibukia Ikulu kwa mama wanapiga stori?
Vv
 
Kwanza kabisa, sizungumzii sheria, nazungumzia principle.

Mpaka hapo hatujaelewana.
 
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?

Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?

Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Nina habari.

Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?

Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?

Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Nafikiri wanataka serikali ambao ndiyo waliofungua case waifute (mfano kwa njia ya nolle prosequi). Kutokuwa na nia ya kuendelea nayo kwa maslahi ya umma kwa mfano. Ni mamlaka ambayo wanayo kisheria. Na kuifuta case siyo kuingilia mahakama, wanayo hiyo mandate kisheria.
 
Swali ni kwamba, CHADEMA wanataka apange Samia au asipange Samia?

Kama wanataka apange Samia, basi wasilalamike habari ya mahakama kuendeshwa kwa "amri kutoka juu".

Kama hawataki apange Samia, basi wasiombe Samia amalize kesi ya Lissu.
Kuna sehemu Lema amesema kuwa alitumwa na chama kwenye hiko kikao na makamu wa rais aliyepita kwa kufukuzwa na uwanachama CCM?
Kauli za Lema si za chama bali ni za kwake kutokana na matamshi yake mwenyewe.
 
WTH!

Lissu na CHADEMA wamekataa kesi kufutwa na Lissu kuachiwa kwa huruma ya Rais. Halafu leo mkamuombe Rais huyo huyo "atoe ruhusa" ya Lissu kuongea na viongozi wenzake wakati sheria iko wazi katika hili?

Huko sio kujimaliza nguvu mbele ya Rais batili?
 
Back
Top Bottom