Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

CDM mlifanya ujinga sana kuwapa chama wanaharakati mange na sarungi. Huo mtego hamtoki leo wala kesho. Kama mnaakili jitengeni nao sasa kwa huu upepo wa Lema.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema;

"Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na mwanasheria mkuu wa serikali. Nikamwambia tafadhali mheshimiwa Nchimbi, tusaidie. Tunaomba kitu kimoja tu, ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-Amesema Lema

Ni sehemu pia Viongozi wa Juu kuwa makini ; vijana kama hawa sio vijana wa kuji engage nao at all , muda wowote wana mwaga mboga

Usikuke huyu msela alikuwa snitch kwa Nchimbi pia
 
Ndo maana Nchimbi kala za uso alikuwa anajaribu kumshauri Maza the way to go
 
What I see Lissu anaweza kula za uso halafu aende court of appeal case ipige tena mwaka mwingine! Aise serikalini Kuna mashetani.
 
Hujua kama mahakamani Kuna wafanyakazi wa mwenyekiti wa kijani?

Hujawahi kusikia watu wanapewa kesi za uongo na wanafungwa kisa tu ni wachadema?

Simple tu chadema walisha sema majaji ni maccm hivyo basi ni kupoteza muda kusubiri huku ya haki kutoka kwa watu wasio itaka haki
Wewe unaongelea mfumo uliopo, wewe umekuwa stuck hapo. Huwezi hata kufikiria kitu tofauti.

Mawazo yako yamekomea kwenye dunia iliyopo, huwezi kufikiria dunia inayowezekana kuwapo.

Huwezi kufanya fikra dhahania, abstract thoughts.

Mimi nimepita kuangalia mfumo uliopo tu, sijawa stuck hapo tu. Naweza kufikiria kitu tofauti.

Mawazo yangu hayajakomea kwenye dunia iliyopo, naweza kufikiria dunia inayowezekana kuwapo.

Naweza kufanya fikra dhahania. Abstract thoughts.

Tunaishi kwenye dunia mbili tofauti.

Hatuwezi kuelewana.
 
Kuna sehemu Lema amesema kuwa alitumwa na chama kwenye hiko kikao na makamu wa rais aliyepita kwa kufukuzwa na uwanachama CCM?
Kauli za Lema si za chama bali ni za kwake kutokana na matamshi yake mwenyewe.
Lema ni kiongozi wa chama.

Chama mpaka sasa hakijazikanusha kauli kwamba si za chama ni za Lema binafsi.
 
Nina habari.

Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?

Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?

Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Yaani wazee kwenye geti la gereza au wanyang'anye funguo kisha wafungue geti na kuingia! Wewe ni dairekta wa muvi?
 
Yaani wazee kwenye geti la gereza au wanyang'anye funguo kisha wafungue geti na kuingia! Wewe ni dairekta wa muvi?
Hapana,

Umefikiria mambo kufanyika kwa nguvu zaidi ya kufanyika kwa akili.

Na hapo ndipo mnapokosea wapinzani wengi Tanzania.

Mkiambiwa jambo cha kwanza mnachofikiria ni kutumia nguvu, badala ya kutumia akili.
 
Hapana,

Umefikiria mambo kufanyika kwa nguvu zaidi ya kufanyika kwa akili.

Na hapo ndipo mnapokosea wapinzani wengi Tanzania.

Mkiambiwa jambo cha kwanza mnachofikiria ni kutumia nguvu, badala ya kutumia akili.
Asante muvi dairekta.
 
Huyo Lema atakuwa mpumbavu kama ataendelea kukaa kwenye chama ambacho haaminiki anaitwa Project.

Sasa kwani lazima kuwa Chadomo? Ila Sasa kama hakuwa project manake Kwa Sasa anatakiwa kuachana na siasa aendelee na Maisha mengine maana Kwa CCM atakuwa liability na Kwa Chadomo wanamuita msaliti.

Shida zote huzi ni Kwa sababu hana msimamo mkali Sasa wajiandae kina Boni Yao,Sugu na Mnyika na wengine ambao ni moderate
Leo ndio nimejihakikishia kua wewe ni hamnazo.

Cc. Machawa woteeeeeee LUMUMBA BUKU SABA
 
Back
Top Bottom