Inner circle ya uongozi wa Mbowe ilikuwa ni Lema, Msigwa, Sugu, Bon Yai alikuwepo na Mzee Kibao na Lissu kabla hajakerwa
Hawa kila aliyewapinga walimpachika usaliti na wameumiza watu wengi sana na ndio maana hata wakati wanashughulikiwa tokea na Magufuli wanachama wengi waliwaacha wapambane wenyewe.
Circle hii ilijifungamanisha na circle yang Wanamtandao ya CCM tokea 2005.
2015 alikuja Lowassa kwasababu ya maslahi na imani kuwa Lowassa angeshinda circle ikamsaliti Boss wa Wanamtandao ikajiunga na Lowassa. Boss wa mtandao akachukia.
Magufuli akaamua kupambana na maboss wa circle zote mbili ile CHADEMA na ya CCM mtandao. Kibano kilivyozidi Lowassa akasalimu amri akajiunga kwa Magufuli.
Mbowe na vijana wake kwasababu walijua yaliyokuwa yanapangwa na Wanamtandao wakaamua kukimbilia nje ya nchi gandhi na Mbowe na watoto wa mjini wengine wakawa wanampa Magufuli illusion kuwa amewamaliza hadi alipomalizika yeye.
Amekuja Mama akataka Kurudisha system ya 2005-2015 kuwa umeishika CCM na umemshika kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani. Mara akaalikwa Bawacha na kupewa Tuzo n.k
Lakini imani ya Boss wa Mtandao kwa Mbowe ikawa 50/50 haaminiki tena sana na upinzani wa wanachama ndani ya CHADEMA na Umma ukawa mkubwa sana, maslahi ya ruzuku na tips za gizani yakaisha circle ya Mbowe ikawa na hali mbaya ya uchumi toka kwa Magufuli na ubunge hamna kwa kifupi njaa ikawa imeingia kambini na madeni lukuki. Yaani una madeni na shida kibao halafu sponsor wako mkuu hakuamini tena. Wakaanza kugombana na kufitiana. Mara ooo unajua jamaa ndio alikupiga risasi na sio Magufuli, unajua jamaa ndio alimleta Nyalandu ili wewe usiwe mgombea Urais, unajua jamaa hukutaki uwe makamu wake...... maneno yakaota yakamea matokeo yake January 2025 jamaa chali
Huku na huku ikaonekana kuna ukatoliki, kuna uKKKT, kuna Ulokole na Uislam. Katoliki wako na Walpole na Waislam wako na Malasusa (KKKT) na Anglikana.
Lema na Mbowe ni KKKT na ni pro JK. Lissu na Mnyika ni Katoliki ni pro Nchimbi na Katima na Gwajima. Lissu na Mnyika sio ala rushwa ila Lema na Mbowe na Msigwa ni watu wa pesa na wameshakula sana hela za CCM mtandao na ubunge na kamati zile tamtam zenye rushwa nyingi na kwasasa hawana hela njaa kali. Lema hadi nuru usoni imepotea
Kwa hiyo kwasasa wanataka kupiga dili kwa kumtumia Lissu na Lema ndio amejipa U Steve Wittkof kama wa yule wa Trump kuwa anaongea na pande zote
Tusubirie matokeo ila kuna njaa na umasikini na kiu ya madaraka vinainfluence harakati zote hizi.
Madalali kazini. Dalali ni dalali tu na hela ya udalali ni tamu na siku zote dalali haangalii consequence anachoangalia yeye anapata nini au ameahidiwa nini. Tujifanye kama hatumjui ajimalize mwenyewe.
Hakuna marefu yasiyo na ncha