Lema amedokeza kuwa Lissu atahukumiwa kifungo, kisha atakata rufaa kutoka gerezani!

Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote.

Yajayo hayafurahishi.😰
Kama kweli basi wasamehewe wote, kwanini asamehewe Lissu peke yake?
Kama akikutwa na hatia maana yake hata akisamehewa hawezi kugombea urais au cheo cha kisiasa.
Lengo litakuwa limetimia.
 
..Lissu anataka haki, na mabadiliko, kuliko vyeo.

..Na kila mtu amemsikia Lissu akisema mahakamani kuwa yuko tayari kuyafia mabadiliko.

..Wanaofikiri Lissu anatamani vyeo na madaraka wamejiongoza vibaya.
 
Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote.

Yajayo hayafurahishi.😰
Speculation! Na hao akina Karayemaha watakuwa wamejudhalilisha milele
 
Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote.

Yajayo hayafurahishi.😰

Haki hua haipotei,

Kama si leo hata baada ya kutwaliwa na Mungu, Watoto wake watakata Rufaaa ili kuweka msawano sawa wa kisheria.

Rejea Kesi ya CAG na jamhuri kuhusu kuondolewa kwake kinyume na katiba.
 
Back
Top Bottom