Siasa za udalali zilikoma pale Lissu alipokua mwenyekiti wa Chadema

Siasa za udalali zilikoma pale Lissu alipokua mwenyekiti wa Chadema

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao .

Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli.

Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu .

Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
 
Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao . Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli. Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu . Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Achana na Lema. Ameshasahaulika katika ulingo wa siasa kama Mbowe. Lema angekuwa ana akili asingeita press. Ndo ameharibu zaidi
 
Achana na Lema. Ameshasahaulika katika ulingo wa siasa kama Mbowe. Lema angekuwa ana akili asingeita press. Ndo ameharibu zaidi
Hata hao ccm baada ya kuchuja hawatamuhitaji tena
 
Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao .

Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli.

Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu .

Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Ndugu Baz Kaiza, uchambuzi wako unaibua masuala mazito ya kutafakarisha kuhusu mwenendo wa siasa zetu, hususan ndani ya upinzani na nafasi ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Ni kweli kwamba Lissu ameleta sura mpya ya uwazi na uwajibikaji, na ni afya kukosoa pale panapohitajika ili kujenga taasisi imara. Hata hivyo, unapomhusisha hayati Rais John Magufuli kama mtu aliyekuwa 'anajua ukweli' wa nia za wapinzani, unajenga taswira isiyoakisi uhalisia wa mazingira magumu yaliyosababisha mkwamo wa kisiasa nchini.

Ukweli wa kihistoria unaonyesha kuwa awamu ya tano chini ya Rais Magufuli ndiyo iliyokuwa chanzo kikuu cha mdororo mkubwa wa siasa za vyama vingi nchini Tanzania. Kupitia kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, ukandamizaji wa vyombo vya habari, na matumizi makubwa ya vyombo vya dola dhidi ya wakosoaji, mfumo ulijitahidi kwa makusudi kurudisha nchi katika zama za chama kimoja. Kumsifu kiongozi aliyetumia mbinu hizi kama mtu aliyekuwa na nia njema, ni kuonyesha kutofahamu kabisa maana na misingi ya siasa za uwazi, demokrasia na ushindani wa kimawazo.

Kuhusu vijana waliopoteza maisha au kuumia, ni jambo la kusikitisha na linalouma kibinadamu. Lakini damu na jasho lao hazikupotea kwa sababu ya 'udalali' wa viongozi, bali zilitokana na kiu yao ya dhati ya kutaka mabadiliko katika mazingira ambayo mamlaka hazikuvumilia sauti mbadala. Kumlaumu Godbless Lema au viongozi wengine kwa kupambana ndani ya mfumo uliokuwa unaminywa kila upande, ni kuwahukumu wahanga badala ya mfumo uliokuwa unatekeleza ukatili huo.

Mwisho, unapoona viongozi kama Godbless Lema wakijibu mapigo dhidi ya wanaharakati, ni muhimu kutambua mazingira halisi ya jambo hili. Lema hawashambulii wanaharakati bila sababu; badala yake, anajitetea dhidi ya tuhuma nzito zisizokuwa na ushahidi wowote thabiti ambazo zimeelekezwa kwake na kwa chama chake. Kumtuhumu kiongozi wa ngazi ya juu na mwenye mchango mkubwa kama Lema bila kuwasilisha ushahidi wowote, ni kujiingiza kwenye siasa za propaganda zinazodhoofisha harakati zenyewe. Kitendo cha baadhi ya wanaharakati kugeuka na kushambulia viongozi wa upinzani badala ya kupambana na mfumo dhalimu uliorudishwa nyuma na utawala wa Magufuli, kinawafanya waonekane wanatumikia maslahi ya wale wale wanaodai wanataka kuwatoa madarakani. Ili kujenga mabadiliko ya kweli, lazima tuhuma ziongozwe na ukweli na ushahidi, na si mhemko unaowagawa wale wanaopaswa kusimama pamoja dhidi ya ukandamizaji.
 
Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao .

Kuna vijana wengi wamekufa wakidhania kwamba yule kiongozi aliekua anawafanya vijana kuzungusha mikono na kukunja ngumi wakijua ni mwana mabadiliko wa kweli kumbe tapeli.

Magufuli alijua hili kwamba hawa wapinzani sio kwamba wanataka mabadiliko kama wanavyoaminisha wananchi bali wanataka mabadiliko ya mifuko yao na familia zao . Sasa kaja mwisho wa siku chama kikandondokea kwa mwanamabadiliko ya kweli gwiji wa sheria Lissu .

Sasa wakina Lema bado anawaza chadema ya udalali wa kisiasa zama zimepita watu wamekufa october 29 Adui wa adui yako sasa Lema kuwashabulia wanaharakati inanipa wakati mgumu sana
Kuna picha naona inaenda kutokea,Lissu ataachiwa na tarehe 10 yule bibi ataenda msibani kwa alute kutoa pole ili zipatikane picha za kuonyesha yeye na Lissu hawana shida
 
Kuna picha naona inaenda kutokea,Lissu ataachiwa na tarehe 10 yule bibi ataenda msibani kwa alute kutoa pole ili zipatikane picha za kuonyesha yeye na Lissu hawana shida

..muache Mama Abduli aende kwenye msiba wa Mzee Alute, lakini asitarajie kuwa Lissu atabadili misimamo yake kuhusu HAKI na DEMOKRASIA.
 
Back
Top Bottom