Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hii imekaa njema sana wasomi 💪Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.
ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.
Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.