Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,461
- 19,779
Wasalaaam,
Yaani kila wazo lazima tuanze na heading, main thread, utangulizi na hitimisho? 😂
Fanyeni mpango tuwe na uwezo wa kuchapisha mawazo mafupi mafupi kama tweets kuhusu chochote kilichopo kichwani, watu wa-like na kuchangia bila kulazimika kuanzisha uzi rasmi. Hii option inaweza kuwekwa jukwaa la Chitchat ikiwapendeza.
Maana kuna mawazo yanahitaji sentensi mbili tu, siyo dissertation ya chuo kikuu, ukifikiria kuanzisha uzi unachoka kabisa!
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.