The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Wakuu,
Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂
Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona...
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika...
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi
Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa.
Kushindwa kudhibiti hisia za...
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao.
Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine wakati wa sherehe ya aga dimba ya Aziz Ki na Hamisa iliyofanyika katika Ukumbi wa Super Dome...
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!
Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
Wakuu
Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex.
Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake.
Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili.
Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha.
Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula.
Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake.
Sirudii mwenye akili aelewe mapenzi sio Gereza shiriki penzi kwa njaa na kiu yako sidhani kama mapenzi ni ujenzi...
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
Habarini!
Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya...
Bila kupiga dili nyama utakula mara moja tu kwa mwezi.
Bila kupiga dili utapanda daladala mpaka makonda wakukariri sura.
Bila kupiga dili huwezi kuwa na banda la biashara
Bila kupiga dili ndugu na jamaa lazima uwazimie simu maana huna cha kuwasaidia.
Tufanye Mshahara wako ni sh. 700,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.