Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.

Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji kuchangamana zaidi na watu wa dunia nyingine huko nje za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wakorea, Warudi, Waturuki na wengineo ili kujipatia maarifa mbalimbali kupitia historia kuu na filiosofia mbalimbali za maisha katika tamaduni za kale zilizokomaa (ancient cultures)

Kutokujua lugha kubwa kimataifa za Kingereza na Kifaransa zinatufanya kubaki kwenye chungu na mitazamo duni, uono hafifu na mdogo sana kuhusu Dunia kwa upana wake na mambo mbalimbali.

Waislamu japo wanajifunza Kiarabu ila ni kwa ajili ya kusomea Quran na dini tu kwa hiyo haiwasaidii chochote.
 
Upo sahihi Boss

Baada ya kupata aibu kwenye mualiko flani hv wa watasha muda wote nipo kimya na wadau wanajua hii sio kawaida yangu sikuwa na confidence kabisa kwa sasa Nipo kwenye vita kali na hii lugha mpaka kieleweke thanks chatgpt.

English yangu 7/10 nataka niwe 10/10. hapa nazunguzia kwenye kuongea infact Kujua kimombo muhimu sana aisee kwa kazi zangu.
 
Naunga

Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji kuchangamana zaidi na watu wa dunia nyingine huko nje za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wakorea, Warudi, Waturuki na wengineo ili kujipatia maarifa mbalimbali.

Kutokujua lugha kubwa kimataifa za Kingereza na Kifaransa zinatufanya kubaki kwenye chungu na mitazamo duni, hafifu na midogo sana kuhusu Dunia kwa upana wake na mambo mbalimbali.

Waislamu japo wanajifunza Kiarabu ila ni kwa ajili ya kusomea Quran na dini tu kwa hiyo haiwasaidii chochote.
Naunga mkono hoja
 
Kwa mfano nchi ya Cameroon upande mmoja ni wanaongea kiingereza na upande wa pili wanaongea kifarsnsa...Yani nchi Moja Ina lugha mbili za kimataifa.

Wale jamaa wametuzidi nini katika context yako ya "exposure" au hata maendeleo?

Burundi na congo wanaongea lugha ya kimataifa ya kifaransa,Uganda,Zambia na Zimbabwewanaongea kiingereza kuliko waingereza wenyewe ila Hawa majirani wametuzidi wapi?

Mimi mtazamo wangu nadhani tatizo la Tz lugha inaweza kuwa ni minor issue ila tatizo kubwa tulilo nalo ni effect ya Ujamaa.

Mfumo wa ujamaa umetuletea athari hadi Leo tumekuwa siyo watu wa kuchangamka na kuziona fursa..Tumekuwa kama mazombi. Tumejifungia ndani/Bongo.

Sisi tunafanana na Wasouth.

Sote ni wavivu. Sote tumeridhika. Sote ni hewala. Sote hatutoki nje ya nchi zetu kwenda kupambana kwingineko kwenye fursa. Tumejifungia ndani.

Wale jamaa ni kama hawana exposure pia.

Wengi wao wanajua Africa, nje ya kwao basi ni Nigeria na Kenya(Noise makers wa afrika).

Unajiuliza Hawa wamekuwaje matajiri?
 
Upo sahihi Boss

Baada ya kupata aibu kwenye mualiko flani hv wa watasha muda wote nipo kimya na wadau wanajua hii sio kawaida yangu sikuwa na confidence kabisa kwa sasa Nipo kwenye vita kali na hii lugha mpaka kieleweke thanks chatgpt.

English yangu 7/10 nataka niwe 10/10. hapa nazunguzia kwenye kuongea infact Kujua kimombo muhimu sana aisee kwa kazi zangu.
Mkuu,

Katika picha ya juu,watanzania tunaonekana kama tuna tatizo kubwa la kiingereza na tunashindwa kupresent kwenye international platforms kwa sababu ya language barrier.

Ila deep down tatizo letu kubwa siyo kiingereza...Ni confidence.

Mbongo Hana confidence kwenye majukwaa ya kimataifa.

Hata hapa kwetu akija mgeni tunamu-overrate sana hasa akiwa anajua kiingereza. Anakuwa superior kwetu.

Nakupa mfano...

Siku Moja tulitoka na kampuni tukaenda kula bata kwenye 5 star hotel Pale DSM. Tuna kampuni tanzu Nairobi ,Kenya. Kuna wafanyakazi kadhaa walikuja kuwakilisha wenzao,walikuwa wanne.

Imagine,katika idadi yao ya watu wanne waliiteka show yenye watz zaidi ya 30!!!

Yani mbele ya wakenya waswahili wenzetu tunakuwa wanyonge kama tumemwagiwa maji!!

Angalau English medium za sasa mbali na kufundisha kiingereza, wanawafundisha watoto swala Zima la confidence mbele za watu.

Watoto wa sasa hivi ukiongea nao ni kama unaongea na mtu mzima mwenzio.

Kwa hiyo mkuu Fanyia kazi kwanza kazi swala Zima la confidence maana umesema lugha tayari unajua 7/10. Hapo ulipofika si haba.

Hata ukijua 10/10 kama huwezi kuongea mbele za watu,siku wakikupa maiki kiingereza chote kitapotea ukigongana na macho ya watu.
 
Kwanini hamkuongea kishwahili kwa vonfidence hapo 5 star hotel
 
Ni kweli mkuu mimi nimefanya kazi na Wakenya wana confidence na wanajua kuchangamkia fursa sana.
 
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.

Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji kuchangamana zaidi na watu wa dunia nyingine huko nje za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wakorea, Warudi, Waturuki na wengineo ili kujipatia maarifa mbalimbali kupitia historia kuu na filiosofia mbalimbali za maisha katika tamaduni za kale zilizokomaa (ancient cultures)

Kutokujua lugha kubwa kimataifa za Kingereza na Kifaransa zinatufanya kubaki kwenye chungu na mitazamo duni, uono hafifu na mdogo sana kuhusu Dunia kwa upana wake na mambo mbalimbali.

Waislamu japo wanajifunza Kiarabu ila ni kwa ajili ya kusomea Quran na dini tu kwa hiyo haiwasaidii chochote.
Sidhani kama ni sababu. Kuna wamarekani wengi wajinga wajinga hasa wafuasi wa republican ukiwasikia utashangaa.
Kuna nchi wako vizuri hata bila kuzungumza kiingereza. Ni elimu yetu tu na malezi
 
Kwakweli English language nitajitahidi sana mwanangu aelewe kwa gharama yoyote ile .Hayo mengine tutafundishana taratibu
 
Upo sahihi Boss

Baada ya kupata aibu kwenye mualiko flani hv wa watasha muda wote nipo kimya na wadau wanajua hii sio kawaida yangu sikuwa na confidence kabisa kwa sasa Nipo kwenye vita kali na hii lugha mpaka kieleweke thanks chatgpt.

English yangu 7/10 nataka niwe 10/10. hapa nazunguzia kwenye kuongea infact Kujua kimombo muhimu sana aisee kwa kazi zangu.
Naomba kufahamu nitajifunza vipi kiingereza kupitia chatgpt?

Weka hint kidogo wengi tunauhitaji na hii kitu
 
Mnahistoria kubwa katika maeneo tofauti shida yawezekana njia ya utunzaji na urithishaji kizazi na kizazi.

Nimekuta jamii yangu Pharmacy yao ni Makopo yamejaa unga wa miti hasa mizizi na magome ya miti.
Na wana ustaarabu wao wa kufanya kila jambo.

Mmeishi sana njia zao rudini njia zenu sasa.
 
Mkuu,

Katika picha ya juu,watanzania tunaonekana kama tuna tatizo kubwa la kiingereza na tunashindwa kupresent kwenye international platforms kwa sababu ya language barrier.

Ila deep down tatizo letu kubwa siyo kiingereza...Ni confidence.

Mbongo Hana confidence kwenye majukwaa ya kimataifa.

Hata hapa kwetu akija mgeni tunamu-overrate sana hasa akiwa anajua kiingereza. Anakuwa superior kwetu.

Nakupa mfano...

Siku Moja tulitoka na kampuni tukaenda kula bata kwenye 5 star hotel Pale DSM. Tuna kampuni tanzu Nairobi ,Kenya. Kuna wafanyakazi kadhaa walikuja kuwakilisha wenzao,walikuwa wanne.

Imagine,katika idadi yao ya watu wanne waliiteka show yenye watz zaidi ya 30!!!

Yani mbele ya wakenya waswahili wenzetu tunakuwa wanyonge kama tumemwagiwa maji!!

Angalau English medium za sasa mbali na kufundisha kiingereza, wanawafundisha watoto swala Zima la confidence mbele za watu.

Watoto wa sasa hivi ukiongea nao ni kama unaongea na mtu mzima mwenzio.

Kwa hiyo mkuu Fanyia kazi kwanza kazi swala Zima la confidence maana umesema lugha tayari unajua 7/10. Hapo ulipofika si haba.

Hata ukijua 10/10 kama huwezi kuongea mbele za watu,siku wakikupa maiki kiingereza chote kitapotea ukigongana na macho ya watu.
Upo sahihi boss
 
Back
Top Bottom