🛣️Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Upole Sio Ujinga..

Samatime Magari

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
152
Reaction score
537
Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga.
.
Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima hekima kidogo tu zingetumika isingetokea.Hii ilikua kipindi kabla ya kampeni na uchaguzi 23/8 Kijani na ndugu zake wanarudisha form. Hapa hatujawaza kabisa makombolero wala Bi Mkubwa Kupikia Jikoni na Kupakulia maliwatoni
1789980177298.png
1789980329154.png

.
Yes nilikua natoka Kigamboni napitia Darajani then bandari road to Posta mpya kuendelea na majukumu ya magari. Nikiwa Barabarani tulikua tunaongozana gari Mbili kwa uwiano sawa [Njia ni 2 lanes]. Ukimaliza Daraja la Kigamboni ukianza kuitafuta bandari road hapo kuna njia 4 zina merge zinakua mbili.
.
Njia mbili hizi [lanes] ni za kutoka Darajani KIgamboni na njia Mbili zingine ni kutokea Uhasibu [Mandela road]...Mambo ya Merge and Acquisition haya watu wa finance wanayajua vizuri ndo kinachotokea hapo sasa...Na Mandela road inakua na ma Lori mengi hasa bandari ikiwa imeshusha shehena na wakati wa kuingiza mzigo wa export..
.
1789980455059.png
1789980465024.png

.
So tuko tunatoka Darajani tukiwa speed flani 40-60Km/hr gari ndogo ikaanza kuongeza speed. Wakati tunakaribia huu muunganiko kuna lori mbili zilikua zinakuja speed kutoka Uhasibu [mandela road]. Binafsi i had to slow down mambo yasije kuwa Mengi maana hii machine ukiibomoaa kuirudisha sawa ni kilio na kusaga meno..
.
Na kawaida ukiwaza hii gari kuna discpline flani unaipata automatic unakua mpole, ila hii gari ndogo ikakaza, Jamaa akakanyaga mafuta. Braking ya Malori kwenye dharula huwa ni kipengele Brake inashikiwa Ubungo Lori linasima ChalinzeNa hata likisimama kwenye foleni hutakiwa kulisogelea karibu, wakati wa kuondoka huwa yanarudi nyuma kwanza..
.
1789980597998.png
1789980606699.png

.
Binafsi nilivyo slow down zikabaki gari tatu [Lori 2 na ile gari ndogo moja] zikajikuta zote zinatakiwa kupita kwenye 2 lanes kwa Pamoja. Lori katika harakati za ku merge akampush gari ndogo mtararoni then akaenda akagongana kiubavu bavu na lori mwenzake..
.
Ajali ikawa imekamilika, hakukua na uharibufu wa mwili + upotevu wa Maisha gari ndogo tu ndo ilipiga pua mtaroni [radiator condenser + bumber] vikapigika. Airbag zikatoka njia ikafungwa askari akaja akachora mchoro wa ajali then wakaelewana wakatoa gari njia ikafunguka tukaendelea na safari..
.
1789980705697.png
1789980715979.png

.
Sasa Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Na sometime unakua wewe ndo uko sahihi kabisa ila bado kuna raia wa Tunguu anakuletea balaa, Mpotezee tu usikaze just ku prove a point, unaweza prove a point sawa, but unapoteza muda na chombo chako hata kikirekebishwa hakiwi kwenye muonekano ule kama wa awali..
.
Na kitu nimenote madereva wengi wa gari ndogo ubishi ubishi, kubana mtu asiingie, kukaza au asi overtake huwa wanafanya sana barabarani. Sijui shida ni nini hata mimi nikiwa naendesha gari ndogo sometime najikuta na behave namna hii ni kama kama mtu mfupi anataka kuonekana kwa warefu..
.
1789980864997.png
1789980876739.png

.
Niwakumbushe tu barabarani hapahitaji ubishi panahitaji hekima sana maana unaendesha gari lako lakini pia unaendesha na gari za madereva wengine. So ukiona mazingira ya kushindana shindana, Kukazia mtu asichomeke usiwe mbishi sana tumia hekima tu na upole kiasi Maisha yaendelee.
.
I hope kama dereva wa sasa na wa baadaye umejifunza kitu na utaenda kufanya mabadiliko katika uendeshaji wako, lengo ni wote tuwe salama na madhaifu yetu. Thanks to share na repost na wengine wajifunza hii kitu ujiepusha na gharama muda usumbufu usio na maana kwako..
.
1789980980185.png
1789980988530.png

.
Na zoezi la kuleta magari from Japan, Uk, Singapore Thailand, South Africa linaendelea. Tuko na network ya trusted dealersDealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi Pia tuna uzoefu wa kuspot gari nzuri kwenye sites za Japan gari zenye viwango na grades nzuri maana tunashinda mtumbani kila siku...
.
Ukihitaji kuagiza gari njoo Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako. Simply njoo WhatsApp [Samatime Magari 0714547598] au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri..
.
1789981109520.png
1789981117475.png
1789981130535.png

.
Na Kuna gari ambazo tunazo tayari hapa ni kulipia na Kuondoka, Subaru Impreza Sport 2013 Km 108,000 CC 1990 2 Unit Both Going 25.6M + Usajili, Subaru Forester XT 2009 Km 104,000 CC 1990 AT Petrol Going 28.5M + Usajili, VW Golf TSI 2014 Km 103,000 CC 1390 Going 32.5M + Usajili
.
1789981360321.png
1789981369813.png
1789981392630.png
1789981433693.png

.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice...Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
1789981491685.png
1789981506532.png
1789981520320.png
1789981535189.png

.
Pia tuna huduma ya ushauri Bure kwa Familia ya Samatime Magari Whatsapp us sasa Jina lako na unakopatikana. Tutasave number yako na utakua na direct access ya huduma zetu za kiushauri na madini kuhusu magari bure.
Samatime Magari
0714547598
 
Attachments

  • 1789980097886.png
    1789980097886.png
    608 KB · Views: 10
Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga.
.
Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima hekima kidogo tu zingetumika isingetokea.Hii ilikua kipindi kabla ya kampeni na uchaguzi 23/8 Kijani na ndugu zake wanarudisha form. Hapa hatujawaza kabisa makombolero wala Bi Mkubwa Kupikia Jikoni na Kupakulia maliwatoni
View attachment 3674945View attachment 3674946
.
Yes nilikua natoka Kigamboni napitia Darajani then bandari road to Posta mpya kuendelea na majukumu ya magari. Nikiwa Barabarani tulikua tunaongozana gari Mbili kwa uwiano sawa [Njia ni 2 lanes]. Ukimaliza Daraja la Kigamboni ukianza kuitafuta bandari road hapo kuna njia 4 zina merge zinakua mbili.
.
Njia mbili hizi [lanes] ni za kutoka Darajani KIgamboni na njia Mbili zingine ni kutokea Uhasibu [Mandela road]...Mambo ya Merge and Acquisition haya watu wa finance wanayajua vizuri ndo kinachotokea hapo sasa...Na Mandela road inakua na ma Lori mengi hasa bandari ikiwa imeshusha shehena na wakati wa kuingiza mzigo wa export..
.
View attachment 3674949View attachment 3674950
.
So tuko tunatoka Darajani tukiwa speed flani 40-60Km/hr gari ndogo ikaanza kuongeza speed. Wakati tunakaribia huu muunganiko kuna lori mbili zilikua zinakuja speed kutoka Uhasibu [mandela road]. Binafsi i had to slow down mambo yasije kuwa Mengi maana hii machine ukiibomoaa kuirudisha sawa ni kilio na kusaga meno..
.
Na kawaida ukiwaza hii gari kuna discpline flani unaipata automatic unakua mpole, ila hii gari ndogo ikakaza, Jamaa akakanyaga mafuta. Braking ya Malori kwenye dharula huwa ni kipengele Brake inashikiwa Ubungo Lori linasima ChalinzeNa hata likisimama kwenye foleni hutakiwa kulisogelea karibu, wakati wa kuondoka huwa yanarudi nyuma kwanza..
.
View attachment 3674954View attachment 3674955
.
Binafsi nilivyo slow down zikabaki gari tatu [Lori 2 na ile gari ndogo moja] zikajikuta zote zinatakiwa kupita kwenye 2 lanes kwa Pamoja. Lori katika harakati za ku merge akampush gari ndogo mtararoni then akaenda akagongana kiubavu bavu na lori mwenzake..
.
Ajali ikawa imekamilika, hakukua na uharibufu wa mwili + upotevu wa Maisha gari ndogo tu ndo ilipiga pua mtaroni [radiator condenser + bumber] vikapigika. Airbag zikatoka njia ikafungwa askari akaja akachora mchoro wa ajali then wakaelewana wakatoa gari njia ikafunguka tukaendelea na safari..
.
View attachment 3674958View attachment 3674959
.
Sasa Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Na sometime unakua wewe ndo uko sahihi kabisa ila bado kuna raia wa Tunguu anakuletea balaa, Mpotezee tu usikaze just ku prove a point, unaweza prove a point sawa, but unapoteza muda na chombo chako hata kikirekebishwa hakiwi kwenye muonekano ule kama wa awali..
.
Na kitu nimenote madereva wengi wa gari ndogo ubishi ubishi, kubana mtu asiingie, kukaza au asi overtake huwa wanafanya sana barabarani. Sijui shida ni nini hata mimi nikiwa naendesha gari ndogo sometime najikuta na behave namna hii ni kama kama mtu mfupi anataka kuonekana kwa warefu..
.
View attachment 3674962View attachment 3674965
.
Niwakumbushe tu barabarani hapahitaji ubishi panahitaji hekima sana maana unaendesha gari lako lakini pia unaendesha na gari za madereva wengine. So ukiona mazingira ya kushindana shindana, Kukazia mtu asichomeke usiwe mbishi sana tumia hekima tu na upole kiasi Maisha yaendelee.
.
I hope kama dereva wa sasa na wa baadaye umejifunza kitu na utaenda kufanya mabadiliko katika uendeshaji wako, lengo ni wote tuwe salama na madhaifu yetu. Thanks to share na repost na wengine wajifunza hii kitu ujiepusha na gharama muda usumbufu usio na maana kwako..
.
View attachment 3674968View attachment 3674969
.
Na zoezi la kuleta magari from Japan, Uk, Singapore Thailand, South Africa linaendelea. Tuko na network ya trusted dealersDealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi Pia tuna uzoefu wa kuspot gari nzuri kwenye sites za Japan gari zenye viwango na grades nzuri maana tunashinda mtumbani kila siku...
.
Ukihitaji kuagiza gari njoo Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako. Simply njoo WhatsApp [Samatime Magari 0714547598] au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri..
.
View attachment 3674970View attachment 3674971View attachment 3674973
.
Na Kuna gari ambazo tunazo tayari hapa ni kulipia na Kuondoka, Subaru Impreza Sport 2013 Km 108,000 CC 1990 2 Unit Both Going 25.6M + Usajili, Subaru Forester XT 2009 Km 104,000 CC 1990 AT Petrol Going 28.5M + Usajili, VW Golf TSI 2014 Km 103,000 CC 1390 Going 32.5M + Usajili
.
View attachment 3674981View attachment 3674982View attachment 3674983View attachment 3674984
.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice...Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
View attachment 3674988View attachment 3674990View attachment 3674991View attachment 3674992
.
Pia tuna huduma ya ushauri Bure kwa Familia ya Samatime Magari Whatsapp us sasa Jina lako na unakopatikana. Tutasave number yako na utakua na direct access ya huduma zetu za kiushauri na madini kuhusu magari bure.
Samatime Magari
0714547598
Saivi ukiscroll kidogo tu Instagram unakutana na video vijana wakizipita gari na kurecord kwamba gari yake inachanja mbuga balaa wakati anayeshindana nae hayupo kwenye ushindani..
 
OKAY ASANTE KWA TAARIFA
 
Back
Top Bottom