Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii.

Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
 
Fanya kazi bro....vyengine ni makasirikio na kutokuwa bzie
 
Back
Top Bottom