Unamsomesha mwanao international school, madrasa unamnyima?

Mi nasema waislam ni wajinga hoja ya kwanza kama hii aliyoandika mleta mada kwamba mtu mwingine anaweza kwenda kuhiji kwa ajili ya mwingine ambaye alishakufa zamani. Pia niliwahi kumsikia sheikh mmoja anasema unaweza kusoma Quran kwa ajili ya marehemu wako na thawabu zikawa zake. Sasa ni akili gani inayojitambua ikaamini upuuzi huu?
Upuuzi hapo uko wapi???
 
Na alokwambia kama marehemu tu ndio anahijiwa nani
 
Huu ni ujinga mkuu.

Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.

Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.

Jitafakari sana.

Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Hivi wewe una akili? Unatoka huko Mchambawima. Elimu ya dini ili iweje? Are you out of your mind? Nchi yetu imekuwa ya kipumbavu sana kwa sasa.
 
Na alokwambia kama marehemu tu ndio anahijiwa nani
Kwani hii mada ya huyu jamaa hujasoma au! Mi sijasema marehemu tu, point ni kwamba haiwezekani kabisa kuhiji mtu mwingine Kisha thawabu ziwe na mwingine kama vile isivyowezekana dhambi afanye mwingine na adhabu ya moto iende kwa mwingine.
Kuamini kuna kuhiji kwa ajili ya mwingine huo ndo ujinga wa waislam
 
🤣🤣🤣
Ndio maana nikwambia kule juu mbona kama wewe ndio mjinga ulopitiliza mipaka
Mfano tu kwa wasiokua waislam ikiwemo wewe
Baadhi ya Marais ama viongozi fulani wanaamrisha watu waue ila wao hawauwi na mwisho wao ndio wanahukumiwa kwani wao ndio wauaji
Yaani kuna majambo hapa hapa duniani tu yanawezekana itakua huko juu
Mtoa mada hoja yake nimeielewa sana
Ila wewe ndio unatoa hoja zisizo na mashiko
 
Ok twende vizuri,
Mfano wako mzuri wa mtu anayetuma watu waue. Haya niambie marehemu anapataje thawabu za kuhiji kwa Mtu mwingine! Yeye marehemu amehusika vipi kwenye hilo tendo?
 
🤣🤣🤣
Ndio maana nikwambia kule juu mbona kama wewe ndio mjinga ulopitiliza mipaka
Mfano tu kwa wasiokua waislam ikiwemo wewe
Baadhi ya Marais ama viongozi fulani wanaamrisha watu waue ila wao hawauwi na mwisho wao ndio wanahukumiwa kwani wao ndio wauaji
Yaani kuna majambo hapa hapa duniani tu yanawezekana itakua huko juu
Mtoa mada hoja yake nimeielewa sana
Ila wewe ndio unatoa hoja zisizo na mashiko
Angalia comment yangu ya juu kabla ya hii, nimesahau kukutag
 
Huu ni ujinga mkuu.

Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.

Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.

Jitafakari sana.

Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Safi! Madarasa ni mambo ya kiarabu, dini zililetwa kupumbaza akili hasa ya mwafrika, ndio maana ulimwengu wa tatu ndio wafia dini wapo.
 
Kuwapeleka watoto madrasa ni kuwadumaza akili tu,yaani waste vitu vya maana shuleni halafu wakasome na nonsense madrasa?
 
Back
Top Bottom