Picha la Kutisha. Kama roho yako nyepesi usifungue huu Uzi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Screenshot_2026-10-28-13-08-58-640_com.instagram.android~3.jpg

Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.

Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.

Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.

Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
 
mimi hawezi kwa sbb ambazo ww ujui lkn ww mleta mada zake ndo anaweza kukufanya hvyo
Wewe anakubaka kabisa jinsi ulivyoandika kwa woga hilo jambo. Nikaona kabisa wewe unaliwa. Sisi wanaume tunaangalia mambo ya kisiasa na uchumi. Nyie wanawake mnaangalia mibako. Mi ukijileta kizembe nakubakilia mbali. Ijumaa karibu Msikiti wa kwa Mtoro kama utakuwa katika siku nzuri
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Kwani hata Iran ikisaidiwa na China au Russia nchi gani hapo middle east itaipiga Iran?

Hao Israel waje kupigana wenyewe kama inavyofanya Iran ndio huu mjadala utafungwa ila hii ya kupigana nyuma ya mgongo wa USA alafu inajisifia ni utoto.

Wapambane wenyewe
 
View attachment 3700615

Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.

Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.

Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
Una mada za kitoto sana. Naanza kuutafakari umri wako kijana.
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Kwani hata Iran ikisaidiwa na China au Russia nchi gani hapo middle east itaipiga Iran?

Hao Israel waje kupigana wenyewe kama inavyofanya Iran ndio huu mjadala utafungwa ila hii ya kupigana nyuma ya mgongo wa USA alafu inajisifia ni utoto.

Wapambane wenyewe
una uhakika Iran inapigana peke yake?
 
View attachment 3700615

Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.

Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.

Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
Order out of chaos.
Hii ni mbinu maarufu ambayo inatumiwa na vyama vya siri ambavyo ni maarufu USA, Western Europe pamoja na Israel.

Wakitaka kupenyeza agenda zao kwa maslahi yao ni lazima wakupige kwanza na kitu kizito kichwani kisha maumivu yakikuzidi na kukuelemea ndipo wanakuja mezani na mpango wa amani.

Mashariki ya kati inatafutwa kile ambacho kinajulikana kama mpango wa amani ya kudumu kati ya Israel na nchi majirani zake wengi wao wakiwa ni Waarabu. Chuki na uadui mkubwa kati yao ni wa siku nyingi huku wasuluhishi wengi walitokea na kushindwa kuleta suluhu.

Sasa mezani kuna Abrahamic Accords ikiungwa mkono na USA, Israel na mataifa kadhaa ya Kiarabu, kikwazo kikubwa ni Iran. Ni lazima atengenezewe majanga ili aweze kulegea na kisha kulazimika kuja kwenye mazungumzo ya amani ya kudumu.

Order out of chaos, ndiyo kete muhimu kufanikisha jambo hilo. Iran ategemee kibinyo zaidi kutoka kwa mabwana hawa wa vita ili Abrahamic Accords itekelezwe, look very attentive at this guy JARED KUSHNER
 
Hao ndo watu wanaoongoza kuuwa watu wengi kuanzia 2020s lakini kuna watu wanawashangalia kwasababu tu ya dini, hiyo combination imeua watu 150k
 
Order out of chaos.
Hii ni mbinu maarufu ambayo inatumiwa na vyama vya siri ambavyo ni maarufu USA, Western Europe pamoja na Israel.

Wakitaka kupenyeza agenda zao kwa maslahi yao ni lazima wakupige kwanza na kitu kizito kichwani kisha maumivu yakikuzidi na kukuelemea ndipo wanakuja mezani na mpango wa amani.

Mashariki ya kati inatafutwa kile ambacho kinajulikana kama mpango wa amani ya kudumu kati ya Israel na nchi majirani zake wengi wao wakiwa ni Waarabu. Chuki na uadui mkubwa kati yao ni wa siku nyingi huku wasuluhishi wengi walitokea na kushindwa kuleta suluhu.

Sasa mezani kuna Abrahamic Accords ikiungwa mkono na USA, Israel na mataifa kadhaa ya Kiarabu, kikwazo kikubwa ni Iran. Ni lazima atengenezewe majanga ili aweze kulegea na kisha kulazimika kuja kwenye mazungumzo ya amani ya kudumu.

Order out of chaos, ndiyo kete muhimu kufanikisha jambo hilo. Iran ategemee kibinyo zaidi kutoka kwa mabwana hawa wa vita ili Abrahamic Accords itekelezwe, look very attentive at this guy JARED KUSHNER
Hadi sasa US na Israel zimepanga kupiga Nuclear facilities, mitambo mikuu ya umeme ya nchi, gas pamoja viongozi kadhaa.

Kupiga sehemu kuu ya kuzalisha umeme, kutopatikana kwa maji ya kutosha, milango yao ya kuimport bidhaa ikipigwa stop, humo ndani Iran hapatakalika. Serikali inaweza ikawa imejipanga ila sio raia wengi wa kawaida.

Kutokana na ugumu wa maisha, wananchi wanaweza wakaingia mtaani kushinikiza serikali ing’oke maana mbali na hapo ni sawa na wao kukubali kufa kwa njaa na kwa mateso ndani ya nchi yao.
 
una uhakika Iran inapigana peke yake?
Ndio, sijaona China au Russia ikileta wanajeshi au ndege zake kuishambulia Israel au USA.

Kama msaada upo ni wa intelijensia na silaha tu ila sio wa uso kwa uso kama anaopewa Israel.

Nadhani wote wangepewa silaha na intelijensia tu alafu tuone mtanange, nakwambia hiyo Israel ingeshika adabu
 
Hadi sasa US na Israel zimepanga kupiga Nuclear facilities, mitambo mikuu ya umeme ya nchi, gas pamoja viongozi kadhaa.
Wapige mara ngapi? Mbona walishapiga karibu yote au Trump na Netanyahu walitudanganya? Si walisema wameshalipua nuclear capabilities zote.
Kupiga sehemu kuu ya kuzalisha umeme, kutopatikana kwa maji ya kutosha, milango yao ya kuimport bidhaa ikipigwa stop, humo ndani Iran hapatakalika
Nadhani unafahamu tokea 1979 Iran imepigwa stop kununua au kuuza bidhaa kwenye soko la kimataifa. Kwahiyo kama ni kuminywa kiuchumi huu ni mwaka wa 50 sasa.
Kutokana na ugumu wa maisha, wananchi wanaweza wakaingia mtaani kushinikiza serikali ing’oke maana mbali na hapo ni sawa na wao kukubali kufa kwa njaa na kwa mateso ndani ya nchi yao.
Watoke mara ngapi? Au umesahau kuna maandamano feki yalianzishwa January hadi wakaletewa silaha na Trump kupitia kwa wakurdi ila mpango ukafeli. Hakuna kitu hakijatumika Iran labda nuclear pekee
 
View attachment 3700615

Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.

Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.

Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
IMG-20261031-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom