Picha la Kutisha. Kama roho yako nyepesi usifungue huu Uzi

Picha la Kutisha. Kama roho yako nyepesi usifungue huu Uzi

FB_IMG_17930020560126068.jpg
 
View attachment 3700615

Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.

Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.

Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
Bei ya mafuta si unajua inasoma ngapi ubaoni mwanetu
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Kwani hata Iran ikisaidiwa na China au Russia nchi gani hapo middle east itaipiga Iran?

Hao Israel waje kupigana wenyewe kama inavyofanya Iran ndio huu mjadala utafungwa ila hii ya kupigana nyuma ya mgongo wa USA alafu inajisifia ni utoto.

Wapambane wenyewe
Maneno ya mkosaji!!!!!
 
Back
Top Bottom