certified Msela
New Member
- Oct 29, 2026
- 1
- 0
Habari wana JF. Mimi ni member wa muda mrefu ila kwa muda kidogo sikuwa nimeingia humu na bahati mbaya nikawa nimesahau Login details hivyo kunipasa kufungua Ac mpya.
Kuna kitu kinanipa maswali mengi kuhusu hii kitu inaitwa HIV. Niliwahi pita na mtoto mmoja wa kimbulu miaka ya 2020 wakati nafanya kazi mkoa mmoja hapa Tz na kwa ujinga wa kuzoeana nikajikuta naichakata bila mpira kwa mwaka mzima. Kuna siku nilichubuka kabisaa ila sikuwa na shaka sababu muonekano wa yule mrembo huwezi kufikiria ana tatizo.
Sinema inaanza wakati huyu binti alipopata mtu aliyemchumbia. Mimi nilionekana sipo serious hivyo nikawekwa pembeni baada ya huyu jamaa kulipa posa. Bwana akampeleka hospital ili ajiridhishe kabla hawajaingia kwenye ndoa.
Nakumbuka niliisikia kutoka kwa mtu wa karibu yake kwamba aliachika baada ya kugundulika na Umeme. Umeme ambao alikuwa nao kitambo toka napiga, na hakuwa anajua. Hakuwa anatumia dawa. Nakumbuka Jasho lilivyotoka hiyo siku, sitasahau. Nikawa kila nikiingia mitandaoni nakutana na Ujumbe wa umeme tu.
Miaka mitatu mbele nikasema wacha niende tu hosp nianze hata dozi maana hamna namna ningekuwa nimepona. Majibu yanatoka, kitu Neg..sikuelewa. nikaenda sehemu nyingine, pia Neg...
Swali langu ni, huu Ugonjwa ni nini haswa? una ka-element ka laana ndani yake? maana wengine wakigusa tu, imo..wengine hata aruke vipi hapati...Nakumbuka kuna kipindi nilipata vidalili vya ajabu ajabu. Kichwa kiliuma kwa muda wa miezi kama 3 hivi, plus tonsilitis, e.t.c. (Labda nilipata ila mwili ulipambana navyo ukavimaliza)
Kuna kitu hatujakijua bado kwenye hii gonjwa.
All in all, ninashukuru Mungu nilivuka salama na leo nipo na Family ya mke na watoto.