porojo🐒Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
View attachment 3696811
AiseeeeeTumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
View attachment 3696811
Samia ni shetani.Wewe jamaa ninachokukubali enzi hizo ulikuwa sisiem lakini maujinga ya utekaji yalivyoshika hatamu tu ukatemana nao na kukaa upande wa haki. Si kama akina tlaatlaah na akina lucas walioibukia katikati ya harufu za damu za watu, hao ni watoto wa ibilisi hawawezi kubadilika.
Safi sana.
Bora yemen kuna aman kidogoTumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
View attachment 3696811
Nguruweporojo