Upuuzi wa kuchanganya R na L sasa umefika mpaka kwenye Kingereza!

Upuuzi wa kuchanganya R na L sasa umefika mpaka kwenye Kingereza!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ilianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!

What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!

Screenshot_20261020-202840~3.jpg
 
Ilianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!

What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!

View attachment 3694739
Bora utumie R kwenye L lakini sipendi mtu ambaye anatumia L kwenye R Aisee nachukia zaidi
 
Daah mkuu nini kilifanya ukapewa kifungo si una maparody ya vita au unashindwa kushift ukianza kushambuliwa 😅
Kuna watu fulani fulani huwa napendelea kuwanyoosha. Sasa nikikaribia kuwamaliza mods wananiomba wanipige ban nami sometimes naridhia sometimes nakataa kuonesha uAyatollah wangu.

Hahaha 😂, Wala Sina parody!
 
Back
Top Bottom