Upuuzi wa kuchanganya R na L sasa umefika mpaka kwenye Kingereza!

Upuuzi wa kuchanganya R na L sasa umefika mpaka kwenye Kingereza!

Kuna watu fulani fulani huwa napendelea kuwanyoosha. Sasa nikikaribia kuwamaliza mods wananiomba wanipige ban nami sometimes naridhia sometimes nakataa kuonesha uAyatollah wangu.

Hahaha 😂, Wala Sina parody!
Nakubali mkuu tuendelee kuwepo jf hivyo hivyo life lisonge tu
 
Yupo ila anaonekana ana sonona ya kutupwa kwahiyo wadau wamekaa mbali kidogo kumsoma zaidi
Mkuu, usimhukumu Moja kwa moja kwa kumwambia ana sonona, huenda alisononeka sana baada ya kutoona comment ya ukaribisho kutoka kwa Ayatollah wa JF.

Neno la Ayatollah huwa faraja ujue 😎
 
Mkuu, usimhukumu Moja kwa moja kwa kumwambia ana sonona, huenda alisononeka sana baada ya kutoona comment ya ukaribisho kutoka kwa Ayatollah wa JF.

Neno la Ayatollah huwa faraja ujue 😎
Inawezekana pia si unajua nyinyi ndiyo wenye mji wenu mkikosekana mgeni anajiuliza nimekosea chaka au
 
Inawezekana pia si unajua nyinyi ndiyo wenye mji wenu mkikosekana mgeni anajiuliza nimekosea chaka au
Itabidi tubadilishe utaratibu kule jukwaani la mapokezi. Mgeni aje kabisa na hela ya mbege ya wazee ili akaribishwe vizuri na kulindwa dhidi ya mashambuki ya hawa wasiolinda migongo yao.
 
Ilianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!

What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!

View attachment 3694739
Kukwepa umande tu, shuleni wakifika wanakariri tu
 
Basi ulipata mzuri thana maana thithi wakwetu hawa wakina theran wangekukuta hivyo lazma ungethema kwa kithpain na mangumi juu
Seran
Aithee! Ni kweli kabitha, kwanza nimmithi thana. Hawa mabinti wa thiku hithi wanathumbua kweli yaani.
 
Punguzeni kujichukiza kwa mambo madogomadogo ambayo hayaongezi wala kupunguza vitamins kwenye miili yenu.Take them easy,big bosses!
 
Back
Top Bottom