Ninepikiwa mboga ya majani ya magimbi, Ngara, wanaita IBITEKETEKE, nimewashwa sana hasa wakati wa kupata haja kubwa njia yote inawaka moto

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,534
Reaction score
5,342
1000563396.jpg

Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa.
Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku.

Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto

Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
 
View attachment 3697309

Paka vaseline kwenye hiyo Njia.
 
View attachment 3697309
Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa.
Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku.

Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto

Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
Pole,usirudie tena...
 
Nadhani mweyeji wako ni basha, mweleze atakukuna tuu.
 
View attachment 3697309
Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa.
Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku.

Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto

Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
Aisee pole sana mdau, ila Title ya Uzi wako ni kiboko...
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom