Siku hizi waganga wanapokea hadi matembele badala ya mbuzi au kuku.Hizi ni taarifa za ukweli.Zile hela za washirikina hazipo watu tukalie mihogo kwa mama mnene rip.
Hali ni mbaya sikuhizi waganga hawatoi zindiko kwa kutupa pesa njia panda.
Mshana Jr
Ndio maana mnatapeliwa sa unampaje mganga tembele.....Siku hizi waganga wanapokea hadi matembele badala ya mbuzi au kuku.Hizi ni taarifa za ukweli.
Huku kijijini kwetu kuku na mbuzi wote wamekufwa kwa kideri na kifaduro.Mimi mganga wangu aliniagiza matembele,juisi ya bamia na goso msokoto mmoja.Ndio maana mnatapeliwa sa unampaje mganga tembele.....
Mganga anatakiwa ale kuku tena kuku la maana kuku lililonona.
Mi mganga wangu nampelekea bonge la jogoo
Bro mambo yako hayatanyooka 😃Huku kijijini kwetu kuku na mbuzi wote wamekufwa kwa kideri na kifaduro.Mimi mganga wangu aliniagiza matembele,juisi ya bamia na goso msokoto mmoja.
AI imeharibu kila kitu! Watu wanatambika mitandaoni,siyo njia panda tena.!! Bando tu imetoka,makampuni ya simu yanaondoka na pesa za matambiko.Zile hela za washirikina hazipo watu tukalie mihogo kwa mama mnene rip.
Hali ni mbaya sikuhizi waganga hawatoi zindiko kwa kutupa pesa njia panda.
Mshana Jr
Bruh,yamenyooka hadi najionea wivu.Si siku mingi naagiza Yutong ya maboksi.Bro mambo yako hayatanyooka 😃