Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali..
Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia mashtaka ya ugaidi na uhaini hakuwezi kumpa uhalali wa kuitawala Tanzania.
Ataua na kuteka/kupoteza watu, lakini uharamu wa uongozi wake utabaki palepale.
Na mwisho wa siku, atakutana na ngumi ya waTanzania itakayompa haki yake.
Amejaribu kutumia ulaghai wote aliodhani anaweza kuwapumbaza waTanzania wasahau maovu aliyoyatenda, lakini yote yamegonga mwamba.
Pesa anayotapanya kununua watu hakujamfanya watu hao wampende na kumtambua kuwa yeye si haramu.
Hadaa za "Maridhiano" ambayo alifikiri yatapunguza chuki kubwa kwake na utawala wake haramu hayataweza kuondoa chuki hiyo dhidi yake na wote wanaohusika naye katika uharamu wao.
huki inazidi kuongezeka na hofu ya kufurumushwa kama ilivyo kawaida kwa majambazi wote inazidi kupanda kila siku.
Na mbaya zaidi, hawajui ni sekunde, dakika, saa, siku au wiki gani watakutana na mkono wa chuma wa waTanzania. Maisha yao ynabaki ya kubahatisha tu! Ndiyo maana mashtaka ya ":Kutishwa Serikali" yamekuwa kama wimbo usiokoma vinywani mwao. Kutishika ni kweli wanatishika. Wanawaogopa wananchi ambao wangepashwa kushirikiana nao.
Kwa hiyo, ni bora tu Samia na Haramu wenzake wajue kwamba hakuna njia yoyote itakayowaondolea uharamu wao. Hata wakidumu kwa mwezi/miezi kadhaa au hata mwaka, uharamu wao upo palepale, na hatma yao ni ile ile iwahusuo haramu wote waharibifu.