Espen Sørensen, known professionally as Mzungu Kichaa, is a Danish singer and musician. He was born in Denmark, but grew up in Tanzania, where his parents worked in the field of Development Cooperation. They went there when he was six years old. In Tanzania, he learned to speak Swahili fluently, and later on, he got involved in music and particularly in the production of Bongo Flava at Bongo Records. The latest outcome of his interest in East African music is his first solo album "Tuko Pamoja".
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine.
Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika.
Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10...
Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?
Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
Si Ndiyo!
Matumizi ya bangi yanaweza kuhusishwa na hali ya kisaikolojia inayojulikana kitaalamu kama cannabis-induced psychosis, ambayo kwa lugha rahisi inaweza kueleweka kama “kichaa cha bangi”.
“Kichaa cha bangi” ni nini?
Ni hali ambapo mtu anayetumia bangi anaweza kupata psychosis, yaani...
Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha...
Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini.
Nilidhani ni sisi tu Afrika tuna maraisi wazee wang'ang'anizi wa madaraka hata akili...
Natambua kuna kundi la wamarekani weusi wanajiita Foundational Black Americans ( FBAs) , hawa ni " CULT" ambao wana amini kwamba mababu zao ( watumwa weusi walio tumikishwa kwenye utumwa) hawakutoka Africa bali walikuwa indigenous to the Americas kama tunavyo waona Australian aborigines...
CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu
1. Mafisaidi
2. Wezi
3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu.
4. Al munafiqina
5. Wachawi/Machawa
Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu.
Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina.
Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa.
Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani
Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi.
Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo...
Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.
Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.
Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash.
Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.