Kipindi cha Nuhu anajenga safina kundi la wengi lilimuona kichaa na kusababisha wengine kuumia. Ndio waliomo CCM na chawa wake

Kipindi cha Nuhu anajenga safina kundi la wengi lilimuona kichaa na kusababisha wengine kuumia. Ndio waliomo CCM na chawa wake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu.

Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina.

Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa.

Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina nuhu jua la jioni.
 
Hata wewe ungekuwapo kipindi hicho ungemuona mzee Nuhu kapinda...let say leo mtu anaanza kujenga/kutengeneza safina/merikebu Dodoma pale utamwelewa kweli?
 
Back
Top Bottom