Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika.
Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm asilimia kubwa ni zile dawa za kupoza maumivu , dawa zingine haswa antibiotics ambazo ndizo zenye mzunguko haziruhusiwi kuuzwa .
Hivyo wengi dawa wanazificha na kuziuza kwa vificho , utakuta mpaka dawa class S ambazo kiutaratibu anayetakiwa ku prescribe ni specialist na zinatakiwq zipatikane kwenye pharmacy kubwa pekee lakini utakuta hizo dawa mpaka dldm zipo.
Na kingine kibaya zaidi wanaoajiriwa kuuza hizi DLDM sio pharmaceutical technician/ pharmaceutical assistant au pharmacists ila wanawaajiri manesi au wale medical attendants wauze.
Wakija wakaguzi wasioweka kipaumbele cha pesa, hilo duka linafirisiwa na mmiliki na muuzaji asiyekuwa na kigezo wote wanaenda kuozea jela .
Ukisema hii biashara uuze vile vitu pekee unavyotakiwa kuuza, basi mauzo yako kwa siku hayatafika hata elfu 5 tena unaweza usiuze kabisa.
Mtu hawezi kwenda kwenye dldm kununua panado ambazo angeuziwa kwa blister 1 badala yake ataenda kwa duka la mangi na kununua panado kwa tsh 200.
Hivyo hapa wamiliki wanapitia mawili, je ukubali ufuate sheria inayotakiwa kwa dldm na usipate hata faida ya elfu 5 kwa siku au uvunje sheria ili uingize pesa lakini wakati huo huo uwe kwenye risk ya kukamatwa na kufirisiwa muda wowote.
Je upo tayari umuajiri pharmaceutical personnel na umlipe kuanzia laki 3 na kuendelea au umuajiri nesi au medical attendant ambao utamlipa laki 1 -laki 2 ila hawaruhusiwi kufanya hiyo kazi ya kuuza dawa.
Je upo tayari kumuajiri pharmaceutical personnel ambaye kisheria haruhusiwi kuchoma sindano au umuajiri nesi /medical attendant ambaye anajua kuchoma sindano.
Je utakubali kufata sheria ya kutochoma sindano mteja kwenye duka la dawa maana hairuhusiwi kisheria na kumuacha mteja anayetaka kununua dawa ambayo ni ya kuchoma sindano mfano powercef na kumuacha huyo mteja aende ambaye kiuhalisia mteja mmoja kwa sindano moja anakuachia si chini ya elfu 5 zingine zinafika mpaka laki na kuendelea na hapo ni sindano moja tu je ikiwa dozi ya wiki inamaana kuna pesa nyingi utaiacha iende.
Akili kichwani sasa hapo , uvunje sheria ili upate pesa au ufuate sheria na usipate chochote.