dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa dawa za cetrizine sasa zinatumika na baadhi ya wanawake kwa kuwekwa sehemu zao siri za kwa lengo la kuleta tightness

    Ni madai naomba mwenye uthibitisho
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya kukosekana kwa Dawa za Saratani (Chemotherapy) kwa bima ya NHIF, Muhimbili Mloganzila

    Mgonjwa wangu anasumbuliwa na tatizo la Saratani na kwa sasa yupo kwenye mzunguko wa matibabu ya Kemotherapy (Chemotherapy), Hospitali ya Taifa MUHIMBILI (MLOGANZILA). Hivi karibuni tumeelezwa na wataalamu kuwa Dawa za Chemotherapy anazotakiwa kupata mgonjwa wangu hazipo/zimeisha hospitalini...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wito kwa Samia: Kama unaweza Mama nakushauri tembelea page ya Mange X halafu tafuta faragha fanya Ibada

    Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais. Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa...
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17 Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Swali je kuna mganga wa kienyeji mkali ambaye dawa na mizimu yake inaweza kumfanya aweze kufungua password ama pattern ya simu ya mtu mwingine ?

    nimekutana na hii post sehemu, nikajiuliza nami , je kuna mganga wa kienyeji mwenye huo uwezo?
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  7. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

    Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu. Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu. Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, Kongwa, Dodoma, wanatembea na dawa kwenye mabegi na kulazimisha wagonjwa kununua

    Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua. Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhalifu afichua mbinu ya kuwalewesha Watu kwa Dawa za Kulevya na kuwaibia

    Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha mshukiwa aliyekamatwa akieleza kwa maafisa wa DCI jinsi yeye na wenzake wanavyowalaghai wananchi wasio na habari kuhusu dawa za kulevya na kisha kuwaibia. Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akiwa amefungwa pingu huku akionyesha kifurushi kinachodaiwa...
  10. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Habari zenu wakuu heshima kwenu Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Salamu Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na soda ya tonic. Je kuna madhara yoyote?
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya duka la dawa muhimu (DLDM) ni biashara kichaa, kwenda jela nje , nje, kufilisiwa nje nje.

    Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria. Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika. Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Eli Lilly na Novo Nordisk zinazozalisha dawa za GLP-1 zafunguliwa kesi Mahakamani zikidaiwa kuchangia kupoteza uwezo wa kuona

    Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Kuna Wafanyabiashara wanashirikiana na Viwanda Kushusha ubora wa Dawa Nchini

    Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo, kwa kazi nzuri inayoendelea kufanywa katika kudhibiti uingizaji wa dawa bandia nchini. Dawa bandia...
  16. appoh

    JamiiForums Tanzania Kama unaitaji dawa ya bawasir soma hapa

    Dawa ni uhakika mia kwa matokeo ni haraka inakufikia popote ulipo au ukiifuata ni sawa Dawa ni ya kupaka kwa bawasir zote Dawa ni asil kabisa Haina maumivu inaondoa maumivu miwasho uvimbe Tuko dsm tunatuma popote ndan ya tz hakuna aliepewa ikashindwa kumsaidia mawasiliano whats app na...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza. Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele? Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Libya yakamata dawa za kulevya zenye umbo la Gadafi

    Mamlaka nchini Libya zimekamata shehena ya maelfu ya vidonge vya dawa za kulevya aina ya ecstasy, vilivyokuwa vimeundwa kwa umbo la kichwa na mabega ya kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Muammar Gaddafi. Kwa mujibu wa maafisa wa usalama, dawa hizo ziliingizwa nchini humo kwa njia ya magendo...
  19. min -me

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI . Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI. Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
Back
Top Bottom