AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu.
Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu.
Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu kua Mnene simaanishi kua awe kibonge ila awe mnene yaan na mwili ulionenepa ni ipi?
Nakumbuka miaka fulani nyuma nilienda likizo kutoka Dar kwenda Mkoa X. Nilikaa muda wa miezi 4 tu. Niliporudi niliambiwa nimenenepa sana lakini mimi nikijiangalia nilikua najiona wa kawaida tu yaan nipo vile vile. Vyakula nilivyokua nakula ni vya kawaida sikuwahi kula kitimoto na nilikua sili kabisa maana situmii.
Sasa ninawauliza nyinyi wakuu, hivi ni dawa ipi inamuwezesha mtu kua mnene ndani ya muda mfupi?
Hili swali limenijia kwa sababu fulani fulani,
sababu moja wapo ni kwamba kuna dada mmoja nilikua namuonaga ana mwili wa kawaida tu kembamba kawaida mara ghafla akawa kibonge yaan ile siwezi sema mnene ile ni kibonge minyama uzeembe mpaka tumbo linataka kufika kwenye magoti ya miguu.
Ikaenda enda mara ghafla nikawa simuoni tena then kikapita kipindi fulani sio kirefu sana nilipokuja kuonana nae tena nilishangaa kumuona kawa mwembamba yaan kapungua.
Ule mtumbo tumbo aliokua nao haupo tena hata ukionyeshwa picha ya before and after utashangaa na unaweza ukamuuliza umetumia nini?.
Tufupishe simulizi, leo mimi nataka kuifahamu dawa inayoweza kumfanya mtu awe mnene sio kibonge. Usiniambie Gym maana Gym nimepiga sana na matokeo niliyaona.
Nataka kujua dawa ya kuufanya mwili kua mnene ndani ya muda mfupi.
Nifahamisheni, hawa watu hua wanatumia dawa gani kuinenepesha miili na kuikondesha miili ndani ya muda mfupi?
Mods, huu uzi ubakie huku msipeleke kule kwenye Afya, sio issue ya afya hii.