Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

KWA MAELEZO YAKO UNAJIKANYAGAKANYAGA ANYWAYS.

USHAURI👇👇👇
1.NENDA HOSPITALI KUBWA ZA LEVO YA MKOA AU KANDA OMBA KUONANA NA MTAALAMU WA LISHE(NUTRITIONALIST/NUTRITION OFFICER).HAPO UTAPATA UNACHOKITAKA NA VINGINE VYA ZIADA KUHUSIANA NA LISHE NA AFYA KWA UJUMLA.

2.NENDA HOSPITALI YA BINAFSI ZENYE MADAKTARI BINGWA(POLICLINIC AU SPECIALIZED POLICLINICS) AMBAPO KAMA WANAE MTAALAMU WA LISHE WATAKULINK NA UTACHAJIWA CONSULTATION FEES.UTAPATA ELIMU NA MAELEZO YA KITABIBU.

🚨🚨3.USIANZE KUTUMIA DAWA ZA WAJASIRIAMALI.FATA USHAURI WA KITAALAMU WA WATAALAMU WA LISHE.KAZA SHINGO UPIGWE PESA NYINGI.

4.HUMU UTAPATA USHAURI WA KINGUMBARUNGUMBARU HIVYO BE CAREFULL!!!

📌UTAULIZA UTAWAJUAJE WATAALAMU WA LISHE HALISIA NA UTAEEZAJE KUWATOFAUTISHA NA WEZI/MATAPELI A.K.A WAKINACHIVAYO.

-MADAKTARI LISHE AU WATAALAMU WA LISHE WAPO MAHOSPITALINI ILA MAKANJANJA WAPO MTANDAONI WAO PROMO NYINGI NA MAPRODUCT YAO YA PESA NYINGI.

-LISHE BORA INAYOKANA NA VYAKULA VYA KAWAIDA.HAKUNA HAJA YA MAPRODUCTS AU SUPPLIMENTS.

KILA LAKHERI!!!
 
Dunia ina maajabu, yani unataka unene au umekonda unahitaji kuondokana na kukonda?

Maana Paul Kagame si mnene, wamuonaje anachukiza?

Labda useme umekonda ili tukusaidie kuboost mwili faster.
 
Sasa Kuna Mimi Nina 70 kg toka 2015 mpaka Leo haijawahi kipungua Wala kuongezeka hata point 1

Afya iko poa kabisa sipatagi hata mafua na Nina urefu wa cm 172 (ft 6 kasoro cm 11

Niko mwembamba balaa mpaka washkaji wananiita 10x1 (ten by one)😂😂

Misosi napiga ya kutosha hizo nyama choma ugali chapati supu kuku michemsho ndo pigo zangu, pia lager napiga hata hapa Niko zangu pub napata vitu na Wala Sina stress kabisa

Wana huwa wananicheka Sana kwa jinsi ninavyopeleka misosi Ila mwili kimbaumbau

Shemeji yenu mwenyewe nimemzidi miaka 6 Ila mtaani wanamtania eti unambemenda yule dogo/chalii😂😂😂

Sasa nitakua Nina tatizo gani kiafya wataalamu
 
Kiuhalisia hakuna 'dawa salama' ya kunenepesha zaidi ya 'tiba lishe'.

Unaowaona wakinenepa ghafla, nawe ukadhani wana afya unajidanganya pakubwa, unene wa ghafla una viashiria vingi sana vya 'utapia siha'.

Ukitaka kunenepa kwa muda mfupi, kuna wadau hapo juu wameshakwambia 'kula' ndiyo dawa ya kunenepa haraka.

Vyakula vya wanga na sukari ndivyo vinanenepesha haraka sana, unashauriwa kufakamia mi chips kuku, viazi vitamu, chai ya maziwa, maziwa menyewe nk, huchukui muda kututumka.

Wakati ukifanya hayo ya kula vinono, usizembee kupima kisukari pamoja na presha mara kwa mara.

Vyote hivi napiga ilaaaa kimbaumbau hatari
 
Sasa Kuna Mimi Nina 70 kg toka 2015 mpaka Leo haijawahi kipungua Wala kuongezeka hata point 1

Afya iko poa kabisa sipatagi hata mafua na Nina urefu wa cm 172 (ft 6 kasoro cm 11

Niko mwembamba balaa mpaka washkaji wananiita 10x1 (ten by one)😂😂

Misosi napiga ya kutosha hizo nyama choma ugali chapati supu kuku michemsho ndo pigo zangu, pia lager napiga hata hapa Niko zangu pub napata vitu na Wala Sina stress kabisa

Wana huwa wananicheka Sana kwa jinsi ninavyopeleka misosi Ila mwili kimbaumbau

Shemeji yenu mwenyewe nimemzidi miaka 6 Ila mtaani wanamtania eti unambemenda yule dogo/chalii😂😂😂

Sasa nitakua Nina tatizo gani kiafya wataalamu
Roho ya korosho, mara nyingi watu wenye miili isiyokuwa na shukrani huwa wana tatizo.
 
Back
Top Bottom